Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
231
Reaction score
331
18.jpg

MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI​

1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako.

2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi kumpa kitu ambacho kitabaki kumbukumbu kwake.

3. Kama ni nguo hakikisha isiwe ya mtumba hata kama wewe ni mgumu sana au huna pesa itamfanya ahisi umemheshimu sana

4. Siku ya zawadi isiwe siku ya kufanya mapenzi kwanza kisha ndio umpatie zawadi. Ataogopa siku nyingine ukimuita umpe zawadi.

5. Japo zawadi ni yeyote lakini chagua zawadi ya maana na nzuri atakayoipenda msichana wako hata ikamfanya kuitazama mara kwa mara akikukumbuka
#THEHOOD #DK
 
Ungekuwa nazo usingekuwa unalialia hapa ungekuwa unacheza na chuchu saa sita

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mi sineng'enekei ivo vt hii tunaita #JUST FOR FUN discution
vt ivi ukiplan sn utaumia head t boi af location tanga yani dada poa anajua utundu kuliko manzi unaemiliki
 
View attachment 1854994

MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI​

1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako.

2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi kumpa kitu ambacho kitabaki kumbukumbu kwake.

3. Kama ni nguo hakikisha isiwe ya mtumba hata kama wewe ni mgumu sana au huna pesa itamfanya ahisi umemheshimu sana

4. Siku ya zawadi isiwe siku ya kufanya mapenzi kwanza kisha ndio umpatie zawadi. Ataogopa siku nyingine ukimuita umpe zawadi.

5. Japo zawadi ni yeyote lakini chagua zawadi ya maana na nzuri atakayoipenda msichana wako hata ikamfanya kuitazama mara kwa mara akikukumbuka
#THEHOOD #DK
Kazi yote hiyo ya nini!!??? Mwanamke ana mahitaji mengi sana!
 
mahitaj yapo mengi t lkn lzm kuna ile blind spot nyeti ya kuzingatia km unampenda kwly na hiyo blind spot wengi wao hawazingatii na ndo wanapopotelea
 
siwez nikasahau enzi za chuo nilimpelekea zawad ya thaman ya sh.elf 50 demu ampaye nilianza kumtongoza,hata asante tu hakusema

two weaks naona ndy kwanza hata halekei,nikaona upumbavu bora nikomae na anatomy na Vet path
mpaka naondoka chuo sikutongoza tena mwanachuo
 
wanachuo actualy wanajikuta ma sly queen sn ila ndo ukubwa huo 🤣🤣🤣
 
wanachuo actualy wanajikuta ma sly queen sn ila ndo ukubwa huo í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
wapumbavu sana
mwaka huu may nilikutana nae wajanja walishamzalisha

nilivyo katili hata sikumsalimia
 
mi sineng'enekei ivo vt hii tunaita #JUST FOR FUN discution
vt ivi ukiplan sn utaumia head t boi af location tanga yani dada poa anajua utundu kuliko manzi unaemiliki
Mwandiko gani huu unaandika aisee??

Unaumiza macho.
 
wapumbavu sana
mwaka huu may nilikutana nae wajanja walishamzalisha

nilivyo katili hata sikumsalimia
ndo inavokuwa unamhudumia af anakuona useless anawapa wengine na mimba juu manina
 
Back
Top Bottom