MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo zitakusaidia kuSAVE pesa zako. Twende pamoja.
Nunua kesho, Kila unapotaka kununua ktu ambacho si cha lazma ktk maisha yako jipe muda wa sku 1 adi 7 ukiendelea kujiuliza km kweli unahitaj hcho kitu. Ikiwa unataka kununua simu mpya leo usinunue acha hadi wik ijayo na uendelee kujiuliza n kweli unahitaj kuwa na simu mpya?? utagundua vitu vngi si vya muhim ila n hisia zinakufanya uharibu pesa zako.
Ni muda gani unatumia, Jiulize hili swali kabla hujafanya uamuz wa kununua kitu kisicho cha lazma kwako. Pesa unayotumia unaitengeneza kwa muda gani? Sheria ya kaz ni masaa 9 kw siku sawa na masaa 243 kw mwez,Ikiwa unaingiza 600k kw mwz ni swa na 2469 kw saa. Ukitak kununua kiatu cha 120k ni swa na masaa 48.6 au siku 5.4 yan hicho kiatu unachonunua kna thaman ya siku 6 za kupiga kaz. BADO UTAKINUNUA?
Fanya malipo kwa CASH Usitumie M-pesa wala Card kufanya manunuz. ki-psychology ukilipa chochte kwa card au simu pesa unahisi km hujatumia pesa hiv yaan haikuumi. Unaweza kutoa hata 200k kwa ajili ya saa ya mkononi na ukilipa kwa simu/card hujiskii uchungu BT ukitoa cash uhesabu moja moja had zikamilike unafeel kbsa kuna ktu hakipo sawa na unaweza kuacha kununua.
Weka akiba pesa zote ulizoziokoa, ikiwa ulipanga kununua kitu kwa 20k ila ukaweza kupata kwa 15k weka akiba 5k. hata km ulipanga kununua sim mpya ila ulivyojipa siku 7 za kujitafakar ukagundua huitaji simu mpya kile kias ulichotaka kutumia kwa ajil ya simu weka kama AKIBA ikifka mwisho wa mwez utagundua n kias gan cha hela ulikua unaharibu.
Tengeneza pesa zaidi, Ikiwa umefanya njia zote hapo juu na bado unayumba kiuchumi hakuna njia ya mkato tena zaid ya kutengeneza pesa zaidi ya ufanyavyo sasa. Tafuta biashara mpya,tafuta ajira ya muda mfupi(jioni),tafuta njia ambazo mteja akija kweny biashata yako atatumia hela nyingi zaid ya alivyopanga.