eddy king
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 560
- 1,220
Nimefanya sana haya halafu unajikuta unapoteza pesa nyingi kwenye kisa flan mpaka najiuliza hivi nilijibana vile ili iweje? Sasaivi natumia asee sijinyimi vitu roho inapenda lakini kwa kiasi.Nimejifunza hili nimefaulu, sa hivi naweza kutembea na buku 10 ikaisha wiki sijaitumia, ubahili ubahili tu mpaka tujenge magholofa.