Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza matumizi ya pesa

Nimejifunza hili nimefaulu, sa hivi naweza kutembea na buku 10 ikaisha wiki sijaitumia, ubahili ubahili tu mpaka tujenge magholofa.
Nimefanya sana haya halafu unajikuta unapoteza pesa nyingi kwenye kisa flan mpaka najiuliza hivi nilijibana vile ili iweje? Sasaivi natumia asee sijinyimi vitu roho inapenda lakini kwa kiasi.
 
Ukiwa na malengo unafanikiwa, chamsingi we weka kwenye saving akaunti hata mpawa huku umetarget kununua kitu muhimu au kitega uchumi.
 
Back
Top Bottom