Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Inategemea hayo mahusiano unayotaka kuanzisha yanahusiana na nini!
 
Count your loss and move on.
Rollo tomasi alisema kwenye kitabu chake cha rational male kuwa "kill the beta in you, before the beta in you kills you" saa ingine kuwa beta/simp kunaeza kuleta fatal consequences, kama yule jamaa wa juzi kcmc Eric sawe aliejinyonga kisa kahonga mdada million 4, kumbe hela zenyewe alizohonga alikopa, akawa anadaiwa 4M hadi wanaomdai wakawa wanampiga huyo Eric

Eric akaona cha kutesekea ni nini, kajiua, na yule said wa mwanza aliempiga mchumba wake risasi, case ni zinafanana na iyo iyo Natafuta Ajira
 
Uzi wa maana sana huu mkuu, Hatua ya kwanza ya mahusiano ya awali vijana wengi sana tulianguka vibaya sana, hii iwasaidie wale ambao hawakuwahi kuvitambua hivi viumbe vizuri.


Narudia tena, siku nitayotoa Uzi kuhusu wanawake mtaji organize mnitaftie therapist maana ntajidharirisha sana na kuvunja watu mioyo. Wanawake sio watu
 
Power of a MAN
 
Mkuu, mimi nilipata mwanamke bikira pia anaishi kwenye uhalisia wake, ila alikuwa anataka nimuoe kwasababu amechoka kukaa kwao means anabanwa sana kwao..pia
Alikuwa mbishi
Mwenye dharau
Majivuno
Jeuri na mpenda mashindano

Kumuacha nimekosea?
Mwanamke haolewi kwa kigezo cha bikira pekee yake, japo jamii nyingi na hata kiroho kigezo cha kwanza ni bikira. Jamii za zamani walikuwa hawaishii kwenye bikira na tabia, walikuwa wanaangalia mpaka familia zao, je wachapakazi, bi mkubwa wake anatabia gani, ukoo wao sio wazee wa ndumba, magonjwa ya ukoo nk.

Siku hizi kuoa tunachukulia simple ila zamani, vetting ilikuwa inafanyika ya kutisha, haiishii kwenye bikira na tabia,siku hizi tunaokotana basi.

Turudi kwenye swali lako, kama umemkuta anahizo tabia achana nae,tafuta bikira mwengine atakaye kuheshimu kwani bikira zipo nyingi au kama unauwezo wa kumshape kwa bikira ni rahisi.Ila yote kwa yote bikira haijawahi kupoteza thamani, sababu mwanamke mwenye bikra hajawa damage sana physically, mentally,mara chache sana kumsikia mwanamke bikira akimdharau mmewe, ngumu sana kumsikia akisema kibamia, ngumu sana kusikia akisema dk tatu chali, sababu wewe ndiye wa kwanza vyote kavijulia kwako ni rahisi wewe kushape sababu hana experience kubwa ya maswala ya ngono hata vitu anavyo vitaka basic.

Unaoa mwanamke ana body counts number ya kutisha,anaexperience ya mirungu ya aina mbalimbali,kafanya mitindo ya ngono ya kila aina mpaka iliyo katazwa, lodge hotel zote anazijua,kadate na wanaume wenye vipato mbalimbali, anapenda vitu vya gharama, sasa huyu unamshape vipi?Kama hujui moja ya sababu ya ndoa nyingi kuvunjika ni ma-ex,ya pili ni ya kiuchumi sababu mmewe akipitia changamoto mwanamke anaanza kumlinganisha na ex wake wa zamani na mwanamke akishaanza kukulinganisha na ex wake, kwenye kitu chochote, basi una asilimia zaidi ya tisini na tisa kugongewa.
 
Asante!umenisaidia sana!

Wakati nikiwa low alinipiga kiakili nyie aiseh nilishinda kwenye miti,akajifanya ni school girl Kwa kuvaa visuruali Fulani hivi na akawa anaongea shiti "eti ikitokea umesikia natoka na MTU Fulani Fulani utafanyaje!!?mara we mzee angalau chagua Binti mdogo mdogo sio unatoka na wazee wazee!!?
Mara "kuolewa na matcha ni shida TU hawana Hela""!! Anaongea huku akichota maji ya kuoga yeye!!!

Nilishangaa haoni tulipotoka aiseh!yaani hasta hao wanaompa kiburi wamemuona coz anatokea hapo kwangu coz ana kwake!!Sasa nikajiuliza ni ni hiki!!?

Juzi kaona kekundu huko kwao ndio anataka Mimi nijue madhila ya kwao badala ya kuwaambia mabasha zake!!

Nipo lowa sana kuhusu Hawa viumbe,halafu kwa ujinga nalopoka"huna shukrani nimekuzalia watoto"!

Hadi unajiuliza watoto Hawa SI ndio wanawalea na kuwaambia shit kuhusu baba zao!!?na mwisho wa siku wanawafundisha uasi dhidi ya baba yao huku wanataka watamke "hakuna kama mama"

NILIPOTEZA NGUVU ZANGU BURE NA NIMECHOMESHWA AISEH!!!!

Very low I can say very low,never again,stand alone!!
 
Kama kawaida, naenda kuuprint, napiga picha mbao. Nauweka ukutani.πŸ”₯πŸ”₯
 

Wanasema akili ni nywele kila mtu anazake, sijajua wahenga walikuwa wana refer nywele za eneo gani landa kwako kwenye zitakuwa nywele za eneo jingine ila sio kichwani. Bikira haijawahi kupoteza thamani hata mara moja na haitokuja kupoteza thamani, ila kama umeamua kupima ukali wa sumu kwa kuionja kwa kuamua kutembea na magari ya mkaa ni wew.Ngumu sana kuvurugwa na bikira kulinganisha na mwanamke malaya, hata hao wanaotala kujitoa uhai ukifuatilia wengi wao wameoha hawa hawa malaya. Kama unakimeo chako ambacho malaya,jiandae kwa lolote (ila inategemea na akili na moyo) usije ukatitoa uhai.

Bikira sio fantasy, jamii zote duniani zenye culture tofauti, hazijawahi kukutana wala kufanya kikao sehemu yoyote, ila wote wana prefer mwanamke bikira. Sasa kama wewe unataka aliye manuliwa,mwenye body counts kubwa,mwenye experience na mirungu ya size mbalimbali, anayejua mitindo na style mbalimbali, okay ni wewe kwani dunia ni yako chaguo ni lako, ila bikira haitokuja kupoteza thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…