Kwani mwenye bikira ni nani? Je na nani anaye amua bikira yake iliwe au isiliwe?Halafu hujashikiwa bastola.....
We endelea kuendekeza tamaa na nyege, ila wapo wenzenu mjini hapa hapa wanaingia kwenye ndoa na bikira zako na kwa jinsi ilivyo sasa ukiendekeza tamaa za fedha na nyege,utatumika sana haumkomoi mtu kwani unajiharibia mwenyewe.
Mwili ni wako, bikira ni yako na maamuzi ni ya kwako, Mungu kakupa akili uitumie kufanya maamuzi juu ya kuulinda na kuutunza mwili wako. Sasa unashindwa kitumia akili unawalaumu wanaume kwa sababu za tamaa na nyege zako, amka kuna wenzako wanaolewa hapa hapa mjinj na bikira zao.