Stratopause
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 800
- 1,535
All in all don't be a simp stand in your way ,woman,girls Don't like simp be you and do the support if necessary but that's not your obligation to give her money
VIJANA WAMEJAZANA KWENYE DM ZA MASINGO MAZA NA MAGUMEGUME SHINDIKANA YA JF.Kijana wa 20s na early 30s akipita huu uzi bila kuchukua notes na kuzifanyia kazi atakuwa mjinga namba moja.
One of the best threads on how to relate to women ngonocally and mapenzically.
JINA LAKO LINAAKISI UNAVYOMKUBALI MWANA WA KWENYE NARCOS.NTU YA DILI CHAFU MAFIONSO AZUL MZEE WA SYSTEM.MWENDO WA CHINI KWA CHINI NO NOISE JUST BUSINESS🙌🙌🙌🤝Umemalizaa
Aliochezewa ni yule aliyebakwa tu....PERIOD!!Sijawahi kuwa na tamaa wala mshamba wa mapenzi ila ule ukweli mnaharibu watoto wa watu ...Kama wewe unatak kusema haujachezea mtoto wa watu bila ya kumuoa huko nje?
Mkuu hii ni Safi,Asante kwa kazi hii muhimu.1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.
Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja kwenye maisha yako umtatulie matatizo yake, umfanyie kazi yeye aishi soft life, she is just a liability in your life.
Nini ufanye mdogo angu? Dhibiti tamaa na nyege zako. Hiyo ndio soft spot ambayo mwanamke ataitumia kama mbinu kuu kwenye mission yake.
2. Kila wakati anafanya scouting.
Hata kama umemuoa au umemchumbia, mwanamke wakati wote anafanya calculation ya dili la juu zaidi. Kwenye circle yake tayari kuna potential replacements wako.
Nini ufanye mdogo angu? Focus yako iwe kwenye kuitengeneza thamani yako. Ukiwa mwanaume mwenye thamani kubwa unakua na machaguo mengi. Akichomoa nawe unaangilia dili zuri kwenye optional list yako, maisha yanaendelea.
3. Kadili unavyoonyesha shauku ya kumtaka ndivyo anazidi kukushusha thamani.
Ukirusha ndoani ukaona hayupo interested na wewe basi achana nae. Futa namba yake, acha shobo nae, usimfanyie favor yoyote, mkikutana sehemu mchukulie kama stranger tu. Ukibaki kwenye friendzone na kuendelea kumpa attention unashusha heshima yako. Ukikataliwa na mwanamke unapoteza asilimia kadhaa ya heshima yako, sasa hapo una machaguo mawili uendelee kuwa simp king'ang'anizi upoteze na izo asilimia zote zilizobaki au umwondoe kabisa kwenye circle yako urudishe zile asilimia ulizozipoteza.
Sometimes mwanamke anaweza kukuweka hapo kwenye friendzone kimkakati, unakuta anakupigia au anakutext kukujulia hali sasa hapa ukiwa fala unaweza kufikiri ameingia kwenye mfumo kwaiyo ukiendelea kuchombeza au kumfanyia wema atakukubalia, hapo unajidanganya, ukweli ni kwamba anakutumia tu ku-satisfy ego yake, labda na kukuweka karibu ili mbeleni akutumie akihitaji msaada wako.
Validation na admiration anayopata mwanamke kutoka kwa masimp ataitumia kama karata ya ku-negotiate dili kwa wanaume wa taste yake. Respect yourself, don't be a pawn in her games.
4. Mwanamke akiwa na standard anajithamini, mwanaume akiwa na standard ana chuki.
Kama mwanamke akisema anataka mwanaume mtanashati na mwenye future nzuri au stable income, jamii itampigia makofi kwamba anaijua thamani yake. Mwanaume ukisema unataka mwanamke mtiifu na bikira, utaambiwa una chuki, una mawazo ya kizamani. Utauliuzwa mama ako aliolewa akiwa bikira?
Nini ufanye dogo? Usiruhusu masimp na damaged women wakudanganye. You didn't hustle to end up with over-used and traumatised woman. If you decide to settle go for a young, virgin and feminine woman.
5. Kwa mwanamke mapenzi ni fursa.
Upendo wa mwanamke ni feki, ni wa kibiashara zaidi. Kama mwanamke angekua na upendo real wangewapenda wanaume masikini au wasiokua na status yoyote, lakini wote tunashuhudia jinsi wanavyowadhalilisha..
Nini ufanye? Kipaumbele chako kiwe michonggo yako. Security anayopata mwanamke ndio maintanance ya mahusiano, sio upendo wake kwako. Ukimpoteza mwanamke maokoto yatakupa mwanamke mwingine, ukipoteza maokoto mwanamke hawezi kukupa maokoto vile vile atakuacha na kwenda kutafuta security kwingine. Now days male is not a gender, it's financial status.
6. Prime phase ni villain, declining phase atajifanya victim.
Akiwa 16-25 ataishi reckless. Siku hizi kisingizio chao wanadai wanapigania ndoto zao wakati kiuhalisia wanachokitaka ni uhuru wa maisha ya kufanya umalaya, ufuska, anasa na mitoko ya usiku bila kuwajibika kwa yoyote.
Nafikiri wote tumeona video za watoto wa kike wa sekondary wakicheza kihasala hasara baada ya kumaliza mitihani ya form 6, sasa yale ndio maisha wale mabinti wanaenda kuyaishi mtaani na mtandaoni kipindi cha takribani miaka 10 kwa kisingizio wanapigania ndoto zao. Huku wakipewa ulinzi na mafeminist, jamii na wanaharakati wanaojinasibu wanatetea haki za wanawake.
Akifika 30+ atajibrand kwa kusema sasa amepevuka kiakili na yupo tayari kuolewa. Ndoto aliyodai anaipigania kwenye prime phase hajafanikisha chochote. Hapa atawachafua maex wake na mzazi mwenzake(kama ni single mother) ili yeye aonekane victim and innocent. Guess what? Jamii ilie ile iliyowalinda wakati wanafanya ujinga itawasafisha na kuwapa presha wanaume kuwapokea na kuwaoa hao wanawake.
Nini ufanye? Judge a woman harshly and ruthless based on her past. Mdogo angu usikubali kuwa retirement plan
7. Mwanamke anaongozwa na hisia, sio tafakari ya kimantiki.
Unaweza kumnunulia abaya ya 300K halafu akaku-cheat na mwanaume ambaye amemsafia iyo abaya imempendeza.
Nini ufanye? Cheza na hisia zake huku ukiwa unalinda masilahi yako.
8. Damaged woman haitaji uwe mkombozi wake.
Wanawake walevi, wadangaji, wavaaji mavazi yasiokua na heshima na wote wenye mienendo ambayo haiendani na maadili ya mwanamke wa kiafrika wote wanaingia hili kundi. Ukikutana na mwanamke wa hivi usipoteze muda kutaka kumbadilisha, iyo kazi ilitakiwa kufanywa na wazazi wake. Huyu haitaji wewe umuokoe anachohotaji ni mchango wako kwenye lifestyle yake.
Nini ufanye mdogo angu? Usiweke malengo nae, usitumie nguvu wala jitihada zozote kutaka kumbadilisha. Fanya kilichokupeleka kwake maisha yake mwachie mwenyewe. Wewe piga, kata, funua mfanyie michezo yote anayoitaka, mpe hivyo vijisenti ambavyo haviathiri bajeti yako. Ukishamtumia vya kutosha mteme. If you can't contribute in spoilling her, then avoid her from the first place. Don't play a therapist's role.
9. Hajali kuhusu sacrifices zako.
Jinsi unavyojitoa na kuwa mwema kwake ndivyo anazidi kukuona mjinga, na ndivyo atazidi kukutumia kimasilahi. Kujibana kutaka kumfurahisha au kumridhisha mwanamke wakati wewe ndie mwekezaji mkuu kwenye mahusiano hii ni sawa na kufanya interview ya ajira ambayo unaitoa wewe mwenyewe. Stop that nonsense, you're an interviewer not interviewee.
Nini ufanye? jipe kipaumbele mwenyewe, usiwekeze kwa mwanamke. Don't build your life, happiness and purpose around a woman. Always remember nice men will get used, ruthless men will get respected.
ZINGATIO; Ukipata mwanamke bikira, mtiifu na anaishi katika uhalisia wake, mtunze fanya nae maisha.
Don't be a simp.
HahahahaJINA LAKO LINAAKISI UNAVYOMKUBALI MWANA WA KWENYE NARCOS.NTU YA DILI CHAFU MAFIONSO AZUL MZEE WA SYSTEM.MWENDO WA CHINI KWA CHINI NO NOISE JUST BUSINESS🙌🙌🙌🤝
Na hata mapungufu yake madogo madogo unaweza kumbadilisha, ni tofauti na hao wa 30+ ambao unakutana nao wakiwa hardcore kwenye mitazamo yao ya kimaisha hata kama ina shida
Only used and trauma woman can do soMwanamke akikupenda hata uwe kapuku atakufuata ulipo. Mleta mada unaongelea ma-slay queen wasiojitambua. Mwanaume ukitumia tu akili yako uliyojaliwa na Mungu basi huna haja ya kuishi kwa stress na kufuata miongozo kama ya mleta mada. KUTOJIAMINI ndo inasababisha majina kama Simp, Alpha male na mengine kuibuka sana nyakati hizi.
Let me buy more time to make myself okay, pengine itaongeza utulivu wakati wa uandishiToa Uzi Mkuu the time is now .
Tatizo mnaoa wake za watu. Mwanamke alipita kwa rundo la wanaume amefundishwa tabia mbaya amekubuhu. Hata hawezi kufundishika tena. Mwanamke ni kama mtoto mdogo ndio maana anaitwa Baby anafundishika na kuishi hivyo unavyotaka hata kama wewe ni maskini. Tafuteni wake zenu mwanze kuwafundisha vile mnavyotaka wawe ndivyo watakavyokuwa. Lakini sio kuchukua mke wa mtu.1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.
Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja kwenye maisha yako umtatulie matatizo yake, umfanyie kazi yeye aishi soft life, she is just a liability in your life.
Nini ufanye mdogo angu? Dhibiti tamaa na nyege zako. Hiyo ndio soft spot ambayo mwanamke ataitumia kama mbinu kuu kwenye mission yake.
2. Kila wakati anafanya scouting.
Hata kama umemuoa au umemchumbia, mwanamke wakati wote anafanya calculation ya dili la juu zaidi. Kwenye circle yake tayari kuna potential replacements wako.
Nini ufanye mdogo angu? Focus yako iwe kwenye kuitengeneza thamani yako. Ukiwa mwanaume mwenye thamani kubwa unakua na machaguo mengi. Akichomoa nawe unaangilia dili zuri kwenye optional list yako, maisha yanaendelea.
3. Kadili unavyoonyesha shauku ya kumtaka ndivyo anazidi kukushusha thamani.
Ukirusha ndoani ukaona hayupo interested na wewe basi achana nae. Futa namba yake, acha shobo nae, usimfanyie favor yoyote, mkikutana sehemu mchukulie kama stranger tu. Ukibaki kwenye friendzone na kuendelea kumpa attention unashusha heshima yako. Ukikataliwa na mwanamke unapoteza asilimia kadhaa ya heshima yako, sasa hapo una machaguo mawili uendelee kuwa simp king'ang'anizi upoteze na izo asilimia zote zilizobaki au umwondoe kabisa kwenye circle yako urudishe zile asilimia ulizozipoteza.
Sometimes mwanamke anaweza kukuweka hapo kwenye friendzone kimkakati, unakuta anakupigia au anakutext kukujulia hali sasa hapa ukiwa fala unaweza kufikiri ameingia kwenye mfumo kwaiyo ukiendelea kuchombeza au kumfanyia wema atakukubalia, hapo unajidanganya, ukweli ni kwamba anakutumia tu ku-satisfy ego yake, labda na kukuweka karibu ili mbeleni akutumie akihitaji msaada wako.
Validation na admiration anayopata mwanamke kutoka kwa masimp ataitumia kama karata ya ku-negotiate dili kwa wanaume wa taste yake. Respect yourself, don't be a pawn in her games.
4. Mwanamke akiwa na standard anajithamini, mwanaume akiwa na standard ana chuki.
Kama mwanamke akisema anataka mwanaume mtanashati na mwenye future nzuri au stable income, jamii itampigia makofi kwamba anaijua thamani yake. Mwanaume ukisema unataka mwanamke mtiifu na bikira, utaambiwa una chuki, una mawazo ya kizamani. Utauliuzwa mama ako aliolewa akiwa bikira?
Nini ufanye dogo? Usiruhusu masimp na damaged women wakudanganye. You didn't hustle to end up with over-used and traumatised woman. If you decide to settle go for a young, virgin and feminine woman.
5. Kwa mwanamke mapenzi ni fursa.
Upendo wa mwanamke ni feki, ni wa kibiashara zaidi. Kama mwanamke angekua na upendo real wangewapenda wanaume masikini au wasiokua na status yoyote, lakini wote tunashuhudia jinsi wanavyowadhalilisha..
Nini ufanye? Kipaumbele chako kiwe michonggo yako. Security anayopata mwanamke ndio maintanance ya mahusiano, sio upendo wake kwako. Ukimpoteza mwanamke maokoto yatakupa mwanamke mwingine, ukipoteza maokoto mwanamke hawezi kukupa maokoto vile vile atakuacha na kwenda kutafuta security kwingine. Now days male is not a gender, it's financial status.
6. Prime phase ni villain, declining phase atajifanya victim.
Akiwa 16-25 ataishi reckless. Siku hizi kisingizio chao wanadai wanapigania ndoto zao wakati kiuhalisia wanachokitaka ni uhuru wa maisha ya kufanya umalaya, ufuska, anasa na mitoko ya usiku bila kuwajibika kwa yoyote.
Nafikiri wote tumeona video za watoto wa kike wa sekondary wakicheza kihasala hasara baada ya kumaliza mitihani ya form 6, sasa yale ndio maisha wale mabinti wanaenda kuyaishi mtaani na mtandaoni kipindi cha takribani miaka 10 kwa kisingizio wanapigania ndoto zao. Huku wakipewa ulinzi na mafeminist, jamii na wanaharakati wanaojinasibu wanatetea haki za wanawake.
Akifika 30+ atajibrand kwa kusema sasa amepevuka kiakili na yupo tayari kuolewa. Ndoto aliyodai anaipigania kwenye prime phase hajafanikisha chochote. Hapa atawachafua maex wake na mzazi mwenzake(kama ni single mother) ili yeye aonekane victim and innocent. Guess what? Jamii ilie ile iliyowalinda wakati wanafanya ujinga itawasafisha na kuwapa presha wanaume kuwapokea na kuwaoa hao wanawake.
Nini ufanye? Judge a woman harshly and ruthless based on her past. Mdogo angu usikubali kuwa retirement plan
7. Mwanamke anaongozwa na hisia, sio tafakari ya kimantiki.
Unaweza kumnunulia abaya ya 300K halafu akaku-cheat na mwanaume ambaye amemsafia iyo abaya imempendeza.
Nini ufanye? Cheza na hisia zake huku ukiwa unalinda masilahi yako.
8. Damaged woman haitaji uwe mkombozi wake.
Wanawake walevi, wadangaji, wavaaji mavazi yasiokua na heshima na wote wenye mienendo ambayo haiendani na maadili ya mwanamke wa kiafrika wote wanaingia hili kundi. Ukikutana na mwanamke wa hivi usipoteze muda kutaka kumbadilisha, iyo kazi ilitakiwa kufanywa na wazazi wake. Huyu haitaji wewe umuokoe anachohotaji ni mchango wako kwenye lifestyle yake.
Nini ufanye mdogo angu? Usiweke malengo nae, usitumie nguvu wala jitihada zozote kutaka kumbadilisha. Fanya kilichokupeleka kwake maisha yake mwachie mwenyewe. Wewe piga, kata, funua mfanyie michezo yote anayoitaka, mpe hivyo vijisenti ambavyo haviathiri bajeti yako. Ukishamtumia vya kutosha mteme. If you can't contribute in spoilling her, then avoid her from the first place. Don't play a therapist's role.
9. Hajali kuhusu sacrifices zako.
Jinsi unavyojitoa na kuwa mwema kwake ndivyo anazidi kukuona mjinga, na ndivyo atazidi kukutumia kimasilahi. Kujibana kutaka kumfurahisha au kumridhisha mwanamke wakati wewe ndie mwekezaji mkuu kwenye mahusiano hii ni sawa na kufanya interview ya ajira ambayo unaitoa wewe mwenyewe. Stop that nonsense, you're an interviewer not interviewee.
Nini ufanye? jipe kipaumbele mwenyewe, usiwekeze kwa mwanamke. Don't build your life, happiness and purpose around a woman. Always remember nice men will get used, ruthless men will get respected.
ZINGATIO; Ukipata mwanamke bikira, mtiifu na anaishi katika uhalisia wake, mtunze fanya nae maisha.
Don't be a simp.
Pamoja Mkuu usisahau kunitag.Let me buy more time to make myself okay, pengine itaongeza utulivu wakati wa uandishi
Noted✍️1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.

Unaongelea version ya wanawake wa zamani. Batch ya wanawake unawaongelea iliishia miaka 70 mpaka 80 mwanzoniMwanamke akikupenda hata uwe kapuku atakufuata ulipo. Mleta mada unaongelea ma-slay queen wasiojitambua. Mwanaume ukitumia tu akili yako uliyojaliwa na Mungu basi huna haja ya kuishi kwa stress na kufuata miongozo kama ya mleta mada. KUTOJIAMINI ndo inasababisha majina kama Simp, Alpha male na mengine kuibuka sana nyakati hizi.
mambo niliyoyaandika hapa ni ngumu kidogo kueleweka na mwanamke, especially ukiwa mwanamke mwema kuna namna unaweza kufikiri naionea jinsia yako.Kuna namna mnatakiwa kujua Kuwa hizo theory mnazozitumia Sasa kuhusu wanawake hazifanyi kazi tenaa...Nini hasa chanzo cha hayo yote kwenye jamii?..Mungu aliwaumba wanaume kama viongozi je mnafanya kazi yenu ya uongozi Kwa usahihi?..au nyiee ndio mmekuwaa chanzo cha uharibifuu?..jitafakarini sana..Na upande wa mahusiano mumewaharibu wenyewe na wamekuwa suguu hawaumii Tena..
Hapo ndipo unakuja umuhimu wa kuoa young and virgin woman, kwa sababu huyu bado mtazamo wake haujaalibiwa na chaos za kwenye dating pool kwaiyo bado ana ile innocence akilini mwakeSasa mmempiga, mpaka kachanganyikiwa. Wengine mlienda hata kutambulishwa kwao. Halafu mkampiga puu, mkaingia mtini. Wee unafikiri atakuwaje kama siyo gumegume
JidanganyeUnaongelea version ya wanawake wa zamani. Batch ya wanawake unawaongelea iliishia miaka 70 mpaka 80 mwanzoni