Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Na hata mapungufu yake madogo madogo unaweza kumbadilisha, ni tofauti na hao wa 30+ ambao unakutana nao wakiwa hardcore kwenye mitazamo yao ya kimaisha hata kama ina shida


HAKIKA Mkuu hili hata Mimi nimeliexperience around 19 to 25 years na bado anausichana wake kiukweli yale madhaifu yake madogo madogo unakuwa na nguvu na uweza wa kuyakandamiza na kuyaondoa kabisa katika maisha yake na moja ya sifa ambayo itakuthibitishia kwamba ni wife material ni UTII


Na kitu kingine hekima ina nguvu kuliko chochote juu ya uso wa nchi hi ambayo MUNGU ametupatia, kijana wa kiume mwenye hekima HAKIKA mwanamke hawezi kwenda mbali na yeye na atamtii na atajivunia hivyo vinaja wa kiume ni vizuri kutafuta hekima


Muhubiri 9:18a

"Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita.........."
 
Na iyo laborious wanayoileta kwenye maisha ya mwanaume wao wanafikiri ndio wamepevuka kiakili, ambacho hawajui wanawaume hata hatuhitaji izo akili au elimu zao. Tunachohitaji ni heshima, uaminifu na utiifu tu.
Kwanza mwanamke akifika miaka 30 hajaolewa, hiyo ni red flag kubwa sana, maana yake hana sifa za kuwa mke, ungekuwa nazo angeolewa kabla hajazeeka, wanaume siyo wajinga kumlomba na kumuacha bila kumuoa, maana yake hana sifa.
 
Mwanamke akikupenda tu utapewa yote...

Tusiulizane yote yapi🤣


Bahati mbaya Mwanamke hana uwezo wa kupenda, ila amepewa uwezo wa kupokea upendo i.e UTII


Ni wanawake wachache sana wanafikia hatua ya kuwa na uwezo wa kupenda katika kizazi cha sasa na kukutana noa ni nadra sana


Watu wengi wanachanganya kati ya UPENDO na MAPENZI, ingekuwa sahihi kama ungeandika hivi 👉 "mwanamke akiwa na MAPENZI na wewe atakupa vyote"


Na kibaya zaidi chochote ambacho mwanamke atakupa au kukufanyia lazima atadai malipo tu kwani Ndio asili yake Kwahiyo akikupa vyote lazima tu atakudai vyote 😂
 
WAKUPE UENYEKITI WA KATAA NDOA,CHAMA LA WANA.

BABA UNAJUA,NAHISI UMESOMA NA UNAREVIEW SANA ZILE TOXIC MASCULINITY PAGES HUKO MITANDAONI🤝👏👏👏👏WEWE NDIO SHADAYA WA JF🙌

WEWE NDIO ASKOFU WETU HUMU JF.UMEPITA MULEMULE.VIJANA NYEGE ZINAWAENDESHA SANA, BLOODFOOL!!!

📌ENDELEA KUENEZA INJILI IPO SIKU TUTAKUJENGEA SANAMU LAKO PALE KWENYE FLYOVER YA UBUNGO.

UNAKUTA KIJANA ANAVUJA JASHO HATARE,ANAVAA MARONYARONYA ANAKAA KAGETO KAMA STOO.ILA ANAHONGA MADEMU KAMA CHIZI.HUU UENDAWAZIMU WANAO SANA VIJANA WANAOCHIPUKIA.

"THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR"

📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

NEW SLOGAN IN TOWN.....


"SELF LOVE "
 
Hiyo sarcasm, wanawake WAJINGA ndio wanafikiria hivyo..kwamba ukishakua na kipato,elimu basi umemaliza..wakifika 35 and above ndio wanastuka Kua kuna vingi vya msingi wamemiss..but kwa sasa hawawezi kuona wala kuelewa
35 mbali, mwanamke akifika miaka 30 tu, huyo kashazeeka tayari.
 
Huyo ni mbishi utapoteza muda tu, bikra yake utakuta ilitolewa kwa chipsi kavu
Wewe mpuuzi kweli,yaani unashindwa kutumia akili na utashi wako,unawalaaumu watu sababu ya upumbavu wako. Unaonekana bado hujapevuka, nipo kwenye jamii hii,naona wanawake siku hizi wengi wenu mnavyo behave sababu ya tamaa ya fedha na nyege.

Wewe unaye shindwa kufanya maamuzi ya kutumia akili juu ya mwili wako ,ndiye utafute daktari wa akili.Yani kitu kipo kwenye control yako,ila unaamua kutokutumia akili sasa kama sio uchizi na utahira ni nini?
 
Uzi wa maana sana huu mkuu, Hatua ya kwanza ya mahusiano ya awali vijana wengi sana tulianguka vibaya sana, hii iwasaidie wale ambao hawakuwahi kuvitambua hivi viumbe vizuri.


Narudia tena, siku nitayotoa Uzi kuhusu wanawake mtaji organize mnitaftie therapist maana ntajidharirisha sana na kuvunja watu mioyo. Wanawake sio watu
Toa Uzi Mkuu the time is now .
 
Kama Punga dingi yako pamoja kaka zako sawa maana hujawahi kunipa K nikakukatalia. Jifunze kujibu kwa hoja si wenyewe tumevurugwa kuliko ww. Ila kama unazungumzia mikorosho/mapunga iliyojaa kwenye ukoo wenu sawa.
Mi si nilikwambia utapoteza muda, huyo hanaga hoja, anarusha rusha tu maneno kama muimba taarabu
 
Mwanamke akikupenda hata uwe kapuku atakufuata ulipo. Mleta mada unaongelea ma-slay queen wasiojitambua. Mwanaume ukitumia tu akili yako uliyojaliwa na Mungu basi huna haja ya kuishi kwa stress na kufuata miongozo kama ya mleta mada. KUTOJIAMINI ndo inasababisha majina kama Simp, Alpha male na mengine kuibuka sana nyakati hizi.
 
Kuna namna mnatakiwa kujua Kuwa hizo theory mnazozitumia Sasa kuhusu wanawake hazifanyi kazi tenaa...Nini hasa chanzo cha hayo yote kwenye jamii?..Mungu aliwaumba wanaume kama viongozi je mnafanya kazi yenu ya uongozi Kwa usahihi?..au nyiee ndio mmekuwaa chanzo cha uharibifuu?..jitafakarini sana..Na upande wa mahusiano mumewaharibu wenyewe na wamekuwa suguu hawaumii Tena..
 
Kuna namna mnatakiwa kujua Kuwa hizo theory mnazozitumia Sasa kuhusu wanawake hazifanyi kazi tenaa...Nini hasa chanzo cha hayo yote kwenye jamii?..Mungu aliwaumba wanaume kama viongozi je mnafanya kazi yenu ya uongozi Kwa usahihi?..au nyiee ndio mmekuwaa chanzo cha uharibifuu?..jitafakarini sana..Na upande wa mahusiano mumewaharibu wenyewe na wamekuwa suguu hawaumii Tena..
Wanawake wamebadilika sana, kuna namna Me tunatakiwa kubadilika ili kuendana na namna mlivyobadilika. Things are not the same anymore.
 
Back
Top Bottom