Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Apples and oranges. My comment has nothing to do with "thamani".

Nor do I have the interest to explain further.

Ignorance is bliss.
"Wanasema akili ni nywele kila mtu anazake, sijajua wahenga walikuwa wana refer nywele za eneo gani landa kwako kwenye zitakuwa nywele za eneo jingine ila sio kichwani."

Dunia ni yako chaguo ni lako, tunashauriana ila mwisho wa siku kila mtu na life lake.
 
Na mimi nilikuwaga kama wewe. Huyu jamaa Natafuta Ajira Xi Jinping joseph1989 na selemanda wamenfungua sana akili.
 
Brother umeandika kitu kikubwa sana.
Nna imani unaweza kunipa ushauri maana nna ishu inayotaka kufanana na hii.
 
Sio fantasy, kasema ukweli. Mwanamke bikira bado innocence na purity. Tofauti na ambae body count inasoma mileage ndefu huyu anakuja kwako na comparisons za maex wake na wewe. Hii inamsababishia emotional complex, anakua hana uhakika na anachokitaka
 
Mkuu, umeua Thumb up, kuna pisi moja hapa, niliomba kuioa, awali kama ilielekea, mwishoni inasema haiko tayari, sasa hiyo Laki 3 inayotaka nimkopeshe ya nini? nafuta namba, nafuata advice ya uzi wako huu...
 
Wanaowachezea wanawake mpaka kuwatoa bikra ni jinsia gani?
 
Mpaka unakubali kuchezewa,ina maana hauna akili na utashi uliopewa na Mungu?

Mbona kuna wengine wanaingia kwenye ndoa na bikira zao.
NA ilo suala la kutowawajibisha wanawake, ndio wanatumia advantage iyo kuwa villain halafu mambo yakiaribika wanajifanya victim

Suala la sex na kushika mimba mwamuzi mkuu ni mwanamke. Hakuna kinachofanyika bila mwanamke kuruhusu labda abakwe.

na hili mwanamke kujua kama mwanaume yupo siriaz ni mpaka amuoe au angalao aende kwao kujitambukisha rasmi, sasa kama mwanamke akiruhusu wanaume wamchezee na atimae kumtia mimba bila mmoja ya hayo mawili kutokea, basi huo ni ujinga wa mwanamke mwenyewe
 
Elewa kipawa kilichopo ndani ya mwanaume kwanza...Hakuna mwanamke anafurukuta mbele ya mwanaume labda mwanaume huyo awe dhaifu.
Nimekuuliza hao wenzako wanao ingia kwenye ndoa na bikira zao, wameweza vipi?
Husitumie akili kuvukia barabara unacho takiwa kutumia akili nyakati kama hizo,ili ulinde na kuutunza usichana wako.

Tatizo lenu ni moja wanawake wa siku hii wengi wenu,mnatamaa ya fedha na wengine mnaendekeza nyege,hivi ndivyo vina waponza.
 
I absolutely subscribe 💯 to your reservations Sir😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…