Sulayman Sangida
Member
- Feb 5, 2018
- 91
- 51
nakubaliana na wewe. sio wagonjwa wote inawasaidia, mimi mzee wangu sukari ilikua inapanda akila ugali wa dona.Hapo kwenye ugali dona ni kazi bure zaidi atumie ndizi na mtama mweupe
sidhani kama kuna bia inamfaa mgonjwa wa kisukari. mgonjwa wa kisukari anatumia maji na maziwa kwa wingi.Bia gani inamfaa mgonjwa wa kisukari?
Ninapoiongelea chumvi ya mawe ninaongelea hiyo ambayo mara nyingi hupatikana katika maduka ya dawa asili ama kwenye magulio na pia nazungumzia zaidi ambayo haijapitia viwandaniChumvi ya mawe ina tofauti gani na ya unga?
Mkuu bia usinywe usiisogelee kabisa kama unakisukari isije kukupatia ashk ya kuinywaVipi kuhusu kunywa bia inaruhusiwa kwa mgonjwa wa kisukari?
Swadakta pia dona ni ugali bora kwake kuliko sembeHapo kwenye ugali dona ni kazi bure zaidi atumie ndizi na mtama mweupe
Waza vitu positive angalau hata kwa dakika moja sasa sukari na pombe vitaelewanaje hapoBia gani inamfaa mgonjwa wa kisukari?
Hakuna bia yenye inamfaa mgonjwa wa kisukariBia gani inamfaa mgonjwa wa kisukari?
kwani ikipitia kiwandani inaongezwa sukari? kuna vijitu vinatumia ramli na si uhalisia wa jambo. kama hii ramli ya kusema vitu vikipita kiwandani havifai.Ninapoiongelea chumvi ya mawe ninaongelea hiyo ambayo mara nyingi hupatikana katika maduka ya dawa asili ama kwenye magulio na pia nazungumzia zaidi ambayo haijapitia viwandani
كن متعادب يا أخي العزيز ، هل تعلم ما هو رمل؟؟ وهل عندك علم رمل؟kwani ikipitia kiwandani inaongezwa sukari? kuna vijitu vinatumia ramli na si uhalisia wa jambo. kama hii ramli ya kusema vitu vikipita kiwandani havifai.