Sulayman Sangida
Member
- Feb 5, 2018
- 91
- 51
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
[emoji298]usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
[emoji298]acha chai ya rangi na kahawa
[emoji298]jishughulishe na mazoezi
[emoji298]ongeza unywaji wa maji
[emoji298]tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
[emoji298]tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe