Mambo ya kuzingatia kwa mgonjwa wa kisukari

Mambo ya kuzingatia kwa mgonjwa wa kisukari

Joined
Feb 5, 2018
Posts
91
Reaction score
51
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
[emoji298]usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
[emoji298]acha chai ya rangi na kahawa
[emoji298]jishughulishe na mazoezi
[emoji298]ongeza unywaji wa maji
[emoji298]tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
[emoji298]tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe
 
Hapo kwenye ugali dona ni kazi bure zaidi atumie ndizi na mtama mweupe
 
Bia gani inamfaa mgonjwa wa kisukari?
 
Chumvi ya mawe ina tofauti gani na ya unga?
Ninapoiongelea chumvi ya mawe ninaongelea hiyo ambayo mara nyingi hupatikana katika maduka ya dawa asili ama kwenye magulio na pia nazungumzia zaidi ambayo haijapitia viwandani
 
Ninapoiongelea chumvi ya mawe ninaongelea hiyo ambayo mara nyingi hupatikana katika maduka ya dawa asili ama kwenye magulio na pia nazungumzia zaidi ambayo haijapitia viwandani
kwani ikipitia kiwandani inaongezwa sukari? kuna vijitu vinatumia ramli na si uhalisia wa jambo. kama hii ramli ya kusema vitu vikipita kiwandani havifai.
 
kwani ikipitia kiwandani inaongezwa sukari? kuna vijitu vinatumia ramli na si uhalisia wa jambo. kama hii ramli ya kusema vitu vikipita kiwandani havifai.
كن متعادب يا أخي العزيز ، هل تعلم ما هو رمل؟؟ وهل عندك علم رمل؟
 
علاج مجرب لمرض السكر بالعشاب الطبيعية

المقادير
واحد جرام من المر
واحد جرام من اللبان
واحد جرام من الصبر
واحد جرام من الحبة السوداء
واحد جرام من الحلتيت

تجمع هذه المقادير ويضاف عليها ماء بمقدار ست مرات بعلبة العصير . ثم تسخن على النار حتى تصل درجة الغليان 10 دقائق. يصفى الماء وتزال الشوائب ويوضع في إناء من الزجاج ويبدأ المريض بتناوله كما يلي . فنجان واحد من القهوة (السعودي ) يشرب كل صباح قبل الفطور لمدة أربعة أيام. فنجان واحد من القهوة يوم بعد يوم لمدة ثلاثة أيام وبعدها يتوقف عن الاستعمال نهائيا ومن ثم يأكل المريض ما كان ممنوعا منه ولا يخاف لإذن الله تعالى
 
Back
Top Bottom