Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 991
- Thread starter
- #41
Iceland haina mambo mengi kihivyo So Sina mengi ya kukujuza kuhusu nchi hyo labda kama kuna wajuzi zaidi watakufahamishaChochote kuhusu Iceland?
But kwa ninayoyajua ni kwamba Iceland ni nchi inayoaminika kuwa na Maji safi na salama, so ukiwa katika hyo nchi huna haja ya kununua maji. Yani Maji ya Dukani na Maji ya kawaida ya bombani yote ni sawa hayana utofauti, japokuwa Kuna maduka yanauza maji na maduka mengine yanauza chupa tupu kwa wanaohitaji kunywa Maji ya tap (Bomba)
Ukiachana na swala la Maji, ukiwa huko kama una drive Madaraja mengi nchini Iceland ni ya gari moja tu kupita yani kumaanisha kuwa magari mawili hayawezi kupita kwa wakati mmoja, lazima mmoja asubiri mwenzake apite then na yy ndio apite
Ukiwa Iceland usisahau kwenda WESTFJORDS utaenjoy