Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Mkuu Goodrich,
Soon nita-conclude huyu mwenzetu amesha kengeuka. Na sifa ya mtu aliyekengeuka ni kuwa mmbishi na hakutaka kukubali kufikia kwenye muafaka. Anarudia maswali yale yale niliyokwisha mtolea ufafanuzi.

La muhimu umetimiza vyema wajibu wako wa kushare what you know.
Knowledge is sharing !
 
Last edited by a moderator:
usisahau kuangalia pia zile tarakimu nne zinazoonyesha wiki na mwaka tyre ilipotengenezwa, inasaidia kujua tarehe ya hiyo ku expire. mara nyingi tyre nyingi baada ya miaka mitatu zinapoteza ubora wa rubber yake.
tarakimu zinakuwa mfano 4109, yani wiki ya 41 ya mwaka 2009, hivyo tarakimu mbili za mwanzo ni wiki ya mwaka na mbili za mwisho ni mwaka wenyewe.
 

Good contribution !
 

Bila kusahau kilometers baada ya kuanza kulitumia, hii inafuta miaka ya kuishi kwake ikiwa dukani tu, tairi nyingi hazizidi 7000kms
 
Bila kusahau kilometers baada ya kuanza kulitumia, hii inafuta miaka ya kuishi kwake ikiwa dukani tu, tairi nyingi hazizidi 7000kms

mdau, izo km nahisi umeteleza
 

naomba nifafanulie hapa....samahani lakini....sijaelewa....
 
Mkuu,
Mbona majibu mazuri yameshatolewa khs swali lako.
Gia nyinginezo ambazo ni nzito zinatumika kuisaidia brake kwenye miteremko mikali.
Thats it.
Lakini pia ni kufanya mwendo uwe mzito kwenye barabara yenye mashimo, tuta, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…