Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Kuna gari dogo Toyota altezza linatafuna mafuta like hell nini inaweza kua tatizo.
Jaribu kuangalia maeneo yafuatayo;
1. Air cleaner ikichakaa husababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwa kuwa kunakuwa na resistance ktk kuvuta hewa. ie hewa na mafuta huvutwa pamoja.
2. Plugs ie Kama kuna plug haichomi mafuta hupotea. angalia plugs kuanzia kwenye distributor
3. Silence position. Unapokuwa hujagusa xrator gari imepaki silence rpm inatakiwa kuwa chini ya 1.
4. Engine service ni muhimu kufanya ingine isiwe nzito kutokana na friction.
5. Mengineyo ni uchakavu wa engine n.k.
 
kama ni same rim size ukubwa unaozungumzia ni profile??mimi gari yangu ilikuwa originally low profile[225/50/16]....kwa sababu ilikuwa inagusa sana chini kwenye matuta na mashimo nikabadili to higher profile i.e 215/60/16...kwa maelezo yako hapo juu nitasave mafuta na naweza kuona nakwenda 120kph kumbe ni 125kph??correct??
Inategemea na specification za gari yako.
Inawezekana hy matairi uliyoweka sasa ndio yanaendana na hesabu za muundaji.
 
Kuna gari dogo Toyota altezza linatafuna mafuta like hell nini inaweza kua tatizo.

Jaribu kuangalia maeneo yafuatayo;
1. Air cleaner ikichakaa husababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwa kuwa kunakuwa na resistance ktk kuvuta hewa. ie hewa na mafuta huvutwa pamoja.
2. Plugs ie Kama kuna plug haichomi mafuta hupotea. angalia plugs kuanzia kwenye distributor
3. Silence position. Unapokuwa hujagusa xrator gari imepaki silence rpm inatakiwa kuwa chini ya 1.
4. Engine service ni muhimu kufanya ingine isiwe nzito kutokana na friction.
5. Mengineyo ni uchakavu wa engine n.k.

Pamoja na ushauri wa Goodrich inaonekana hiyo haikuwa reconditioned vizuri kabla ya kuuzwa Afrika maana miezi sita tu ya matumizi ni michache. Vitu vingine vya kuangali ni fuel lines kama hazina leakages. Cheki tenki lako la mafuta, kama linaunyevu nyevu inamaana linavujisha. Mfuni wa tenki pia ni muhimu kuungalia, inawezekana haufungi vizuri hivyo mafuta kupotea kwa njia ya evaporation. Aidha, charcoal canister nayo ni muhimu kuingalia, inawekekanza inavujisha mvuke wa mafuta.

Aidha, kama inatoa moshi mweusi basi Fuel Injectors ni za kuangalia inawezekana zimechoka, Throttle position sensors na Oxygen sensor pia ni za kuangalia.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni saana Goodrich na Chacha Kisiri Ushauri wenu nitafanyia kazi ila ningefurahi zaidi kama mngeweza kuni point katika garage nzuri hapa mjini(dar) affordable na yenye mafundi wazuri wanaoweza nisaidia hili tatizo personally sio mzuri upande wa car mechanics, just a pure user...,


Pamoja na ushauri wa Goodrich inaonekana hiyo haikuwa reconditioned vizuri kabla ya kuuzwa Afrika maana miezi sita tu ya matumizi ni michache. Vitu vingine vya kuangali ni fuel lines kama hazina leakages. Cheki tenki lako la mafuta, kama linaunyevu nyevu inamaana linavujisha. Mfuni wa tenki pia ni muhimu kuungalia, inawezekana haufungi vizuri hivyo mafuta kupotea kwa njia ya evaporation. Aidha, charcoal canister nayo ni muhimu kuingalia, inawekekanza inavujisha mvuke wa mafuta.

Aidha, kama inatoa moshi mweusi basi Fuel Injectors ni za kuangalia inawezekana zimechoka, Throttle position sensors na Oxygen sensor pia ni za kuangalia.
 
Last edited by a moderator:
nimekupata ila nimependa swali la mdau mmoja hapo juu...kwamba kwenye fuel consumption tairi dogo na kubwa ni sawa since at 120kph both will cover 120km in one hour......

ninachokijua gari yenye alloy wheels inakula mafuta kuliko yenye rims za kawaida since alloy wheels ni nzito

Hapo nitakuuliza swali moja.
Gari inahesabu vipi km ie umbali ?
 
Inategemea na specification za gari yako.
Inawezekana hy matairi uliyoweka sasa ndio yanaendana na hesabu za muundaji.

nope.......za zamani[225/50/r16 ndio original kuna hadi label mlangoni inayoonyesha tyre specs...so do i save fuel and gain extra km more then the odometer readings?
 
do u know where we started???nitakujibu nikijua kwamba u know/dont know where we started

Acha siasa za kina Zitto mkuu.
Jibu swali, mimi nimefuatilia tangu mwanzo wa mada ndio maana swali langu likawa very specific.
 
TCleverly umeshindwa kujibu hili swali.
Ungeweza ungekuwa amepata majibu ya maswali yako khs diameter ya tairi na speedometer.
 
Last edited by a moderator:
Point ya msingi sn....ni wapi ktk tairi za gudride waweza soma shelf life, manufactured date yake na useful life yake?
 

Attachments

  • determining-tire-size.gif
    determining-tire-size.gif
    19.6 KB · Views: 206
TCleverly umeshindwa kujibu hili swali.
Ungeweza ungekuwa amepata majibu ya maswali yako khs diameter ya tairi na speedometer.

i just ignored bcoz its irrelevant......sio kila swali mtu analouliza hajui jibu lake.....mimi huwa napenda kuchallenge watu hata kama jibu ninalo......maswali yote niliyouliza nina majibu yake....
 
Tupo pamoja mpaka kieleweke.

Nakubaliana na ww 100% isipokuwa nahitaj kujua jambo 1, mara nyingi nikitaka kuovetake kwa speed kubwa hata kukiwa tambarare huwa na'engage OD off na kukanyaga mafuta na gar inawezafik speed over 140km/hr....Je kufanya hivi ni sawa au km si sawa madhara yake ni nn?
 
Uwe pia unacheki tire pressure mara kwa mara angalau kila wiki mara moja. Watu wengi wanajisahau kucheki upepo, mtu unakuta anatembea na gari zaidi ya mwezi hajawai kupima upepo kisa eti hajapata pancha!Hili ni muhumu hasa kwa wale wanaotumia tubeless kwa sababu tairi hizo zinatabia ya kujiongeza na zingine kujipunguza upepo zinapokuwa kwenye movement.Unaweza kukuta tairi za mbele moja lina 40 PSI, lingine 37 PSI na za nyuma moja 42 PSI na lingine 44 PSI wakati iniatially hukuzipima hivyo. So in that circumstance huwezi kuwa na proper wheel balance na alignment. Even tire wearing zitatofautina.

Kingine cha muhimu ni kukumbuka kuzifanyia rotation tairi zako kila unapoenda fanya services. Tairi zilizokuwa mbele inatakiwa next service ziwekwe nyumba na next of next service zinarudi mbele lakini pia kwa kubadilisha upande zilipokuwepo. Iliyokuwa upande wa kulia inaenda kushoto na iliyokuwa kushoto inaenda kulia. The same applied to rear wheel tire. Ukifanya yote haya itasaidia ku-extend life period ya matairi yako na kizuri zaidi yote yataisha kwa pamoja kwa sababu yote yatakuwa yanapata dhoruba zote za gari.

ushaur wako mzur but Kuchek upepo kila baada ya wiki its too much...unless ubora wa tire zako uwe hafifu mno...i suggest may b monthly....also rotation inategemea km ulizotembea....wataalam washauri ni km ngp ufanye rotation....
 
Kwa mf. Land rover wana system Yao wanaita, terrain response, gearbox inaamua yenyewe kutokana Na eneo tairi zinavyo struggle kupata traction, nafkiri Kuna mafundi wetu Bado hawayajui haya. Mercedes Benz wana system Yao wanaita drive by wire, brake by wire, hizi zote hazina cable NI electronic pulse zinatumwa kutokana Na sensor zilivyosense pressure ya mguu wako
Hebu fafanua juu ya ABS
 
Bro sijui kama unatambua na kuelewa hata kile wewe mwenyewe unachokiandika. Unasema "nani kakwambia kila gari ina accelerator cable?" Kuwa na accelerator cable is just a mechanical means of sending a signal to the throttle body on what extent you want throttle plate to open. So kwa technolojia ya sasa unaweza ukawa na electronic accelerator pedal kwa kuweka variable resistance element kwenye accelerator pedal as an alternative to accelerator cable. Lakini kutokuwepo kwa accelerator cable haina maana throttle position sensor ni irrelevant in determination of gear shifting in automatic gearbox. Throttle position sensor itaendelea kuwepo even if you are using electronic accelerator pedal au mechanical accelerator pedal.

Aidha, Manifold Absolute Pressure (MAP) sensor nayo itaendelea kuwepo na Wheel Sensors zitaendelea kuwepo. Sensor zote hizi kwa pamoja ndizo zinaamua gari iingiea gia ipi na kwa wakati gani.

By the way, Mimi ni specialist wa magari, hiyo i-system unayoitaja ndiyo naiskia toka kwako unless labda kama utakuwa ume misspelling. Nimerejea kwenye vitabu vyangu vya shule labda huenda nimeisahau hiyo system na nimewapiga simu watalaamu wa magari na hadi walimu wangu wa automobile engineering pale NIT hakuna anaeifahamu hiyo unayoiita i-system. Nimejaribu hata ku-google but no such system in automobile technology so far.

Nakukumbusha tena, siyo kila gari ina Overdrive button. Na niliyoyaeleza hapo awali ndiyo matumizi sahihi ya hiyo button kwenye magari yenye nayo. So usiseme tu hakuna cha overdrive or whatever kwa sababu tu mtengenezaji wa gari lako hakuweka hiyo option kwenye gari lako.

Mkuu nakubaliana na ww....but m I ryt nikisema kwa kuna wakt inabid uisaidie gar kubadili gear....unapokuwa umekanyaga accelerator continuously mlio wa gar/engine huenda ukiongezeka huku gauge ya temp ikipanda...but gauge ya temp ikifk level 3 kuna ma2....ukiendelea ku'accelerate gear huchange wakt mlio wa engine umekuwa mkubwa sn na temp imefkia level 4 or above....alternatively temp gauge ikifk lv 3 then ukarelease accelerator pedal na kupress again slowly gar hubadili gear ikiwa kweny mlio wa kawaida na temp gauge huaproach haizid lev 3 na kurud chn gear ikishachange....hyo theory unaionaje mtaalam?
 
sawa kwamba overdrive ni gear ya nne ya juu kabisa....na gari zote zina accelerator cable....sio kila mtu yuko kama wewe kukubali tu kisa mtu anaongea maneno mengi na kusema yeye ni mtaalamu....tuna wataalam wengi na sometimes wanakuwa wrong....

Ukiwa hujui...jifunze kwa wanaojua kwa kuuliza maswali ili ueleweshwe...iliposema gear ya juu hakumaanisha hakuna ya 5 au 6...simply uki'engage OD unailimit gar isiende kweny higher gear akawa na nguvu kidogo....coz the lower the gear the higher the power.....kuhusu acc cable amefafanua vizur sn....km hujaelewa umuulize swali Bwn Chacha....
 
Back
Top Bottom