Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
- Thread starter
- #141
Jaribu kuangalia maeneo yafuatayo;Kuna gari dogo Toyota altezza linatafuna mafuta like hell nini inaweza kua tatizo.
1. Air cleaner ikichakaa husababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwa kuwa kunakuwa na resistance ktk kuvuta hewa. ie hewa na mafuta huvutwa pamoja.
2. Plugs ie Kama kuna plug haichomi mafuta hupotea. angalia plugs kuanzia kwenye distributor
3. Silence position. Unapokuwa hujagusa xrator gari imepaki silence rpm inatakiwa kuwa chini ya 1.
4. Engine service ni muhimu kufanya ingine isiwe nzito kutokana na friction.
5. Mengineyo ni uchakavu wa engine n.k.