Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Kuna gari dogo Toyota altezza linatafuna mafuta like hell nini inaweza kua tatizo.
Jaribu kuangalia maeneo yafuatayo;
1. Air cleaner ikichakaa husababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwa kuwa kunakuwa na resistance ktk kuvuta hewa. ie hewa na mafuta huvutwa pamoja.
2. Plugs ie Kama kuna plug haichomi mafuta hupotea. angalia plugs kuanzia kwenye distributor
3. Silence position. Unapokuwa hujagusa xrator gari imepaki silence rpm inatakiwa kuwa chini ya 1.
4. Engine service ni muhimu kufanya ingine isiwe nzito kutokana na friction.
5. Mengineyo ni uchakavu wa engine n.k.
 
Inategemea na specification za gari yako.
Inawezekana hy matairi uliyoweka sasa ndio yanaendana na hesabu za muundaji.
 

Pamoja na ushauri wa Goodrich inaonekana hiyo haikuwa reconditioned vizuri kabla ya kuuzwa Afrika maana miezi sita tu ya matumizi ni michache. Vitu vingine vya kuangali ni fuel lines kama hazina leakages. Cheki tenki lako la mafuta, kama linaunyevu nyevu inamaana linavujisha. Mfuni wa tenki pia ni muhimu kuungalia, inawezekana haufungi vizuri hivyo mafuta kupotea kwa njia ya evaporation. Aidha, charcoal canister nayo ni muhimu kuingalia, inawekekanza inavujisha mvuke wa mafuta.

Aidha, kama inatoa moshi mweusi basi Fuel Injectors ni za kuangalia inawezekana zimechoka, Throttle position sensors na Oxygen sensor pia ni za kuangalia.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni saana Goodrich na Chacha Kisiri Ushauri wenu nitafanyia kazi ila ningefurahi zaidi kama mngeweza kuni point katika garage nzuri hapa mjini(dar) affordable na yenye mafundi wazuri wanaoweza nisaidia hili tatizo personally sio mzuri upande wa car mechanics, just a pure user...,


 
Last edited by a moderator:

Hapo nitakuuliza swali moja.
Gari inahesabu vipi km ie umbali ?
 
Inategemea na specification za gari yako.
Inawezekana hy matairi uliyoweka sasa ndio yanaendana na hesabu za muundaji.

nope.......za zamani[225/50/r16 ndio original kuna hadi label mlangoni inayoonyesha tyre specs...so do i save fuel and gain extra km more then the odometer readings?
 
do u know where we started???nitakujibu nikijua kwamba u know/dont know where we started

Acha siasa za kina Zitto mkuu.
Jibu swali, mimi nimefuatilia tangu mwanzo wa mada ndio maana swali langu likawa very specific.
 
TCleverly umeshindwa kujibu hili swali.
Ungeweza ungekuwa amepata majibu ya maswali yako khs diameter ya tairi na speedometer.
 
Last edited by a moderator:
Point ya msingi sn....ni wapi ktk tairi za gudride waweza soma shelf life, manufactured date yake na useful life yake?
 

Attachments

  • determining-tire-size.gif
    19.6 KB · Views: 206
TCleverly umeshindwa kujibu hili swali.
Ungeweza ungekuwa amepata majibu ya maswali yako khs diameter ya tairi na speedometer.

i just ignored bcoz its irrelevant......sio kila swali mtu analouliza hajui jibu lake.....mimi huwa napenda kuchallenge watu hata kama jibu ninalo......maswali yote niliyouliza nina majibu yake....
 
Tupo pamoja mpaka kieleweke.

Nakubaliana na ww 100% isipokuwa nahitaj kujua jambo 1, mara nyingi nikitaka kuovetake kwa speed kubwa hata kukiwa tambarare huwa na'engage OD off na kukanyaga mafuta na gar inawezafik speed over 140km/hr....Je kufanya hivi ni sawa au km si sawa madhara yake ni nn?
 

ushaur wako mzur but Kuchek upepo kila baada ya wiki its too much...unless ubora wa tire zako uwe hafifu mno...i suggest may b monthly....also rotation inategemea km ulizotembea....wataalam washauri ni km ngp ufanye rotation....
 
Hebu fafanua juu ya ABS
 

Mkuu nakubaliana na ww....but m I ryt nikisema kwa kuna wakt inabid uisaidie gar kubadili gear....unapokuwa umekanyaga accelerator continuously mlio wa gar/engine huenda ukiongezeka huku gauge ya temp ikipanda...but gauge ya temp ikifk level 3 kuna ma2....ukiendelea ku'accelerate gear huchange wakt mlio wa engine umekuwa mkubwa sn na temp imefkia level 4 or above....alternatively temp gauge ikifk lv 3 then ukarelease accelerator pedal na kupress again slowly gar hubadili gear ikiwa kweny mlio wa kawaida na temp gauge huaproach haizid lev 3 na kurud chn gear ikishachange....hyo theory unaionaje mtaalam?
 
sawa kwamba overdrive ni gear ya nne ya juu kabisa....na gari zote zina accelerator cable....sio kila mtu yuko kama wewe kukubali tu kisa mtu anaongea maneno mengi na kusema yeye ni mtaalamu....tuna wataalam wengi na sometimes wanakuwa wrong....

Ukiwa hujui...jifunze kwa wanaojua kwa kuuliza maswali ili ueleweshwe...iliposema gear ya juu hakumaanisha hakuna ya 5 au 6...simply uki'engage OD unailimit gar isiende kweny higher gear akawa na nguvu kidogo....coz the lower the gear the higher the power.....kuhusu acc cable amefafanua vizur sn....km hujaelewa umuulize swali Bwn Chacha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…