Ok. Basi tutajie jina la hiyo Intelligent System inayo control gear engagement in automatic transmission. Kusema tu Intelligent System unabaki kuwa too Vargue. Be specific which Intelligent System? Maana gari kama ulivyo Mwili wa Binadamu una Mifumo (Systems) mingi. Mfano mmojawapo wa Intelligent System ni huo ulioutaja wa VVTi System - Variable Valve Timing Intelligence System.
Kuhusu Overdrive button narudia tena kukwambia ni option ya manufacturer ku-design gari iwe nayo au lah!Kama gari haina Overdrive button maana yake ni kwamba huwezi ku-enjoy attributes wanayopata watu wenye magari yenye hiyo button hii ikiwa ni pamoja na:-
- Dereva kutokuwa na uwezo wa ku-command gari isiingie kwenye Overdrive gear (ambayo kimsingi ni higher gear kama nilivyokueleza hapo awali na hata kwenye desa la Wikipedia Encyclopidia lilivyokuelezea hapo juu kama umesoma vizuri)
- Huwezi pia kuikomand gari ibadili gia from low gear to higher gear haraka haraka ili ku-save mafuta. Kwa mfano unapoweka Overdrive On maana yake unaifanya gari ibadili gia kwa haraka haraka and within the speed range of 50 Km/hr to 70 Km/ hr tayari unakuwa umemaliza gia zote
Kama gari ina Six Gears, the principle applied are the same but inategemea manufacturer alivyodesign Gari husika. Mfano Manufacturer anaweza ku-design Six Gear Cars na akaweka Overdrive button ambayo ukiiweka OFF inaweza either ikakuzuia kuingia into the Sixth Gear only and at the same time inakuchelewesha kuingia kwenye the rest of Gears when cruising, or ikakuzuia kuingia Sixth and Fith Gear and at the same time inakuchelewesha kuingia kwenye the rest of Gears when cruising. So it is the the matter of design but all in all the function and the meaning of OVERDRIVE remain the same.