Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Sijaelewa....unamaanisha baada ya 7, 000km (yaani baada ya service 2) tair haifi tena?
hahhaaa mzalendo kuna oil ya km 7000 mzunguk mmoja sio zote ni mpaka km 3000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa....unamaanisha baada ya 7, 000km (yaani baada ya service 2) tair haifi tena?
Kwa mf. Land rover wana system Yao wanaita, terrain response, gearbox inaamua yenyewe kutokana Na eneo tairi zinavyo struggle kupata traction, nafkiri Kuna mafundi wetu Bado hawayajui haya. Mercedes Benz wana system Yao wanaita drive by wire, brake by wire, hizi zote hazina cable NI electronic pulse zinatumwa kutokana Na sensor zilivyosense pressure ya mguu wako
Ni hivi.
Kwa umbali ule ule, tairi ndogo inaweza kusoma km 115 na tairi kubwa ikasoma km 100.
Na speedometer mwenye tairi ndogo inaweza kusoma 140 km/h wakati tairi kubwa ikasoma 120 km/h.
Hivyo basi, ukiunganisha factors za mechanical advantage, distance covered, na rpm mwisho wa siku tairi yenye diameter kubwa ina save fuel kuliko yenye diameter ndogo.
Nakubaliana na ww 100% isipokuwa nahitaj kujua jambo 1, mara nyingi nikitaka kuovetake kwa speed kubwa hata kukiwa tambarare huwa na'engage OD off na kukanyaga mafuta na gar inawezafik speed over 140km/hr....Je kufanya hivi ni sawa au km si sawa madhara yake ni nn?
Mi nilivyoelewa ni kuwa kubwa au dogo compared to the specifications za gari husikaMkuu hapa mimi nina mashaka na hilo nililopigia msitali. kama tutakubaliana na hili nadhani kutakuwa na tatizo kubwa sana hasa kwenye Science namna inavyotumika. Labda nikuulize Je unaweza kutumia kigezo cha tairi ndogo kwenye kesi ya ku-overspeed? si kila gari ina speedometer yake? kufuatana na size ya tairi. nimelisikia kwa watu wengi lakini mimi nalipinga kwani naamini speed ile ile bila kujari ukubwa wa gari au tairi.
Umeyaelewa hayo maelezo au ume copy na ku paste ?
Nashauri usome upya maelezo hayo na kupata logic behind, reason between and conclusion within !
I had a front wheel drive car na wakasisitiza hawaweki matairi mapya mbele iwapo nitabadili mawili tu. Watayaweka nyuma whether ur car is front or rear wheel new tires should go on the rear axle and partly worn on the front axle if ur changing one pair. Although if the car is front drive,front tires will wear out quicker than the rea and vice versa
Mkuu TCleverly,
Nikukumbushe tu kwamba ukiona matari ya mbele ya gari yako yameisha kuliko ya nyuma ujue kuna uzembe ulioufanya initially. Kimsingi hali hiyo inaelezea kuwa matairi hayo ya mbele yalikaa muda mrefu yakiwa mbele na hivyo yakaisha haraka (Assuming kulikuwa hakuna makosa kwenye kujaza na kupima upepo mara kwa mara). Technically other things remain constant, matairi yote yanatakiwa yaishe kwa pamoja. Unless hukuwa unafanya tire rotation ambalo ni kosa kubwa.
Turudi kwenye ishu yako. Hao watu waliokwambia hawaweki matairi mapya mbele wakati gari yako ni front wheel car ulipaswa uwaulize sababu ya kitalaamu ya kutofanya hivyo then utuambie ili tuendelee na mjadala.

Tafadhali naomba kujulishwa kwenye cresta gx100 naweza kufunga tyre yenye kubwa mpaka size gani,bila modification YEYOTE.
hahhaaa mzalendo kuna oil ya km 7000 mzunguk mmoja sio zote ni mpaka km 3000
Tairi yangu inasomeka hivi 215/65 R16. Je ni aina gani ya tairi ni durable na ni kama bei gani?
Mkuu,
tatizo kutaja majina inakuwa ni biashara.
Lakini tyre just depend on your choice