Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

4. Usiongee na simu kwa sauti kubwa hasa mambo yako binafsi kwani hakuna anayehitaji kujua mambo yako.
Zote zipo sahihi lakini hii hapa imenigusa zaidi. Kuna siku mama mmoja aliboa kwenye gari hadi abiria wote wakawa wanamshangaa jinsi anavyoongea mambo yake binafsi (tena ya kishambenga) kwenye gari kwa sauti kubwa karibu safari nzima. Kuna wamama wanajua kuongea wewe acha tu mkuu! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mim namuuliza kabisa mkata tiketi, nikatie siti ya Kati i.e not dirishani napembeni mweke mwanaume mwembamba mrefu.
Nikikngia namsalim, namwonesha Niko poa, hamna matata kama vipi!!!!
Kwa akili take anajua kimasihara anaopoa ataishia kusifiwa na kupewa Asante,
Namba namwambia dunia duara tutakutana kwenye tukio lingine.
 
Hakuna kitu napenda safarini kama Mwanamke kusinzia na kuniegemea Mimi

Wallah nitampet pet safari nzima, hata kushuka kwenda kula sintashuka..nitamkula yeye

Wabillah Tawfiq
Hakuna safari ninayoifurahiaga kama kukaa seat moja na mkaka/mubabaa anaenukia,haongei sana halafu nimlalie lalie…keleπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈβ€¦.safari naionaga fupi
 
Fala juzi nimekaa nae Siti moja ni mnene Sana anatumia simu kwa mikono miwili huku kajitanua mkono unakufata kifuani
 

Namba 4. ni tabia ya wasukuma, washamba sana, wanaongea kwa sauti sanaaaa kwenye mabus
 
Wahuni watahisi huko mbeleni ulikula tunda kimasihara
 
kama unaweza kufunga ,funga, usikariri kuwa safarini lazima ule. binafsi huwa sili wala kunywa safarini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…