Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

Waoge wapige mswaki maana sio kwa harufu zile mimi nakerekaga basi tu, mara kwapa mara mdomo, na wanapenda.kuongea kha
 
1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄

Nakazia,

Mtu ana kukuta alaf anapiga kimya duu🖤🖤🖤🖤
 
Ungeongezea "Usile mbalagha,michembe,matobholwa,mkate wa Kikinga,mayai mchemsho au mbowoto hovyo kama ngedere uwapo safarini" mkuu.
 
1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄

Nakazia,

Mtu ana kukuta alaf anapiga kimya duu🖤🖤🖤🖤
Wanawake hao.Halafu baadaye wanaanza kuomba asaidiwe mara hiki mara kile.
 
Maelekezo makini sana. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
...kama unataka namba chuma ikin'goa tu anza kuomba mapema sababu hujui kituo anachoshukia vinginevyo utajilaumu bure.!kuna siku nimekariri huyu nitafika naye so namba nitaanzia kuombea mbele mbele kumbe ni mwalimu kapewa lift, kidogo tu nasikia kaka safari njema mimi nashuka huku anainuka na kaaga kwa sauti kiasi kwamba nikiomba namba watu watasikia kwa kuwa alisha-draw attention kwa sauti yake, kilikuwa kifaa na tulivyoangaliana tu mwanzo anafika alikuwa tiyari kabisa nichukue namba... hadi leo mwaka wa 10 kila nikipita pale aliposhukia huwa nachungulia nje na nikija kumuona nashuka.!
 
Nambebea mama yako ili nimtafune vizuri
 
Kwenye safari ndefu hizi ambazo zinawalazimu abiria wale njiani, ni vizuri madereva wanapofika sehemu ya kupata chakula wawape abiria muda wa kutosha kula kuepusha kuingia kwenye gari na vyakula.

Hakuna kitu kinanikera kama gari inasima mle unasikia, abiria dakika 10 kula!! Dakika 10 unakula nini? Ndio mwishowe kila mmoja kuingia na chakula chake kwenye basi. Huu sio ustaarabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…