Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂UlikomaKuna siku enzi hizo janki nasoma, natoka shule Tosamaganga naenda home Tanga. Basi ikafika Kitonga Comfort Hotel, nikala msosi wangu kisha nikachukua viroba kama nane hivi nikawa nafyonza mdogo mdogo.
Aisee nikazima. Nilitakiwa kushuka Chalinze niunge gari za kwenda Tanga, nikajikuta niko Mnazi Mmoja naamshwa nishuke, tumefika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku nilikua nimelewa sana halafu kwenye bus nilipanda kama staff(dereva tunajuana,classmate wangu)....
Sasa ile naingia tu harufu ya konyagi ikasambaa bus lote..
Kuna mwanamke akaropoka"naona mmepakia pipa la komoni humu mnatukera"...kumbe naenda kukaa nae kwenye seat moja,,,nilisafiri kwa manyanyaso...
Mwisho dereva akaniita nikaenda kukaa nae pale mbele akaninunulia na konyagi nyengine...
Hii ni muhimu mno.Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄
bila kusahau mayai ya kuchemsha maana ushuzi wake huwa si wa dunia hii.Epuka kula ovyo ovyo hasa hasa vyakula kama ndizi mbivu, mahindi ya kupikwa, vyakula vyenye majimaji mengii, hii itakusaidia kuepukana na tatzo la kuharisha au kutapika njianii
Usitanue miguu na kujiachia kama uko kwenye sofa lako nyumbani
Usitanue miguu na kujiachia kama uko kwenye sofa lako nyumbani
Hii ni kero sana, kuna dada alikaa bila kunisalimia badae ananiomba simu eti ampigie mwenyeji wake.1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄
Aiseeee nina mengi ya kusimulia😂😂😂😂Ulikoma
Yaani niliwahi tu kupitilizwa kituo maana nilisinzia nilijuta Sana Kwa uzembe na nilikasirika Sana Sasa sielewi jinsi ulivyopagawa kujikuta Mnazi mmoja😂😂😂😂😂Aiseeee nina mengi ya kusimulia