Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄

2. Kuwa mstaarabu unapoingia kwenye basi hasa kama tayari unajua siti yako haina haja ya kugombania mlangoni.

3. Sikiliza nyimbo na video za kwenye simu yako kwa kutumia earphones kwani kinachokufurahisha wewe kwa mwingine yawezekana ni kero.

4. Usiongee na simu kwa sauti kubwa hasa mambo yako binafsi kwani hakuna anayehitaji kujua mambo yako.

5. Kuwa mwangalifu unaposinzia epuka kumlalia jirani yako unaposinzia. Sambamba na hilo soma gazeti lako kwa uangalifu sio unalitandaza hadi linagusa pua ya mwenzako.

6. Usilazimishe kuchungulia dirishani kila mara wakati umekaa siti ya katikati, hiyo ni kero kwa aliyekaa dirishani.

7. Kama unasafiri na watoto wakatie siti yao isiwe kero kwa jirani yako. Unasafiri na watoto watatu kwenye siti moja ni kero kwa jirani yako na kwa watoto.

8. Usipake pafyumu kali za kukereketa wenzio. Sambamba na hilo piga mswaki vizuri ni kero kukaa na abiria anayenuka mdomo hasa anapokusemesha.

9. Msome abiria uliyekaa naye kama hapendi kusemeshwa usimsemeshe semeshe, mwache, wengine wana mambo yao kichwani, wengine wanaenda kwenye misiba, wengine wamefukuzwa na waume zao huko walikotoka, sio kila mtu anapenda kuongea safarini.

10. Kama unajijua una tatizo la kutapika safarini jiandae mapema kwa kuwa na vifaa vya kukusaidia kwenye hali hiyo.

Ongezea la kwako hapo kama unalo.
Ila iwapo hutaki kero,nunua Ndinga,kaa kwenye Mchuma wako kwa kujiachia,hutakerwa,hutamkera yeyote🤸🤸🤸🤸
 
Ila iwapo hutaki kero,nunua Ndinga,kaa kwenye Mchuma wako kwa kujiachia,hutakerwa,hutamkera yeyote🤸🤸🤸🤸
Tunaobgelea nini ufanye
Nyongeza:
Kama hutumii maji kutakasa O unategemea zaidi toilet paper, basi hakikisha usafi wa huo mtaa unakidhi viwango vya TBS

Kama tumbo lako hujaa gas ukila beans, basi siku ya safari kula kitu kisicho na gas ili uepuke kusingizia watoto au majirani hewa inapochafuka.
Superb advice
 
Binafsi

Nabeba maji, Juice, Gums
Dawa za kuzuia kuharisha, Paracematol
Cakes au cookies
Wipes/ Sanitizer

Huwa nikishasalimia watu nalala hadi gari lisimame
Mwanaume una beba makorokoro yote kisa nini tena safari tenyewe ya Dar- Moro?
 
Unqnif*ra
Dogo una nyege mshindo et? Hao mabasha zako hawakukandi vizuri...
Umenifata pm unanilazimisha mambo yako ya kishoga nimekukataa saiz unaeleta makasiriko humu....

nilishakataa kwamba siwezi kula huo mnyeo wako bado unalazimisha...
Sasa Jichanganye uone moto mtoto wa malaya
 
Hakuna kitu napenda safarini kama Mwanamke kusinzia na kuniegemea Mimi

Wallah nitampet pet safari nzima, hata kushuka kwenda kula sintashuka..nitamkula yeye

Wabillah Tawfiq
 
Yani ndio Bus linatoka mule Mbezi Louis kuitafuta Morogoro road, mama na mtoto waliokaa pembeni yangu wote kwa pamoja wakaanza kutapika. Dakika sifuri tu nimepakwa matapishi dadek.

Sijawahi kusafiri kwa raha mimi.

Enzi za Mohammed trans, natoka kanda ya ziwa kuitafuta Dar. Kuna wabibi ndani ya bus wanasafiri na wajukuu wao wadogo sana kiumri. Mmoja kati yao akaachia uharo kwenye corridor zile za katikati ya siti. Bus zima tulitafutana kwa hiyo harufu yake!

Mara nyingine tena natoka Dar kwenda Kanda ya Ziwa, ndani kuna familia ya hawa ndugu zetu wasukuma. Yani mmoja amekaa siti ya nyuma kabisa, anapiga story na mwenzie aliekaa siti ya katikati ya Bus. Walipanda na ndoo ndogo ya maji ya kunywa, wanachota kwa kikombe then wanapasiana kutoka nyuma mpaka katikati. Siku hiyo kabila lote la wasukuma lilinikwaza!

Mara ya mwisho nimepanda Bus, siti ya pembeni akakaa mzee mmoja hivi. Asee mzee alikua ananuka tumbaku sijawahi ona. Kila watu wakishuka kula na kuchimba dawa, yeye anashuka kuvuta tumbaku zake. Nilifika kwa tabu sana wakuu!
🤣🤣 Mkuu mpaka leo unasafiri kwa shida tu
 
Kuna wadada wenzangu wananuka sana nywele zao aisee. Umesuka nywele umekaa nazo mwezi mzima na kitu bila kutia maji kwa kichwa unategemea abiria mwenzako atakuwa katika hali gani?
Hivi kwann kuna kuwa na wadada wa hivi?! Me hii huwa nakutana nayo sana kwenye daladala, unakutana na mdada ananuka jasho la kichwa balaa yaani harufu ambayo ni kali kuvumilia.

Mara nyingi huwa ni kipindi cha jua kali. Au mvua imnyeshee halafu jua liwake muda huo huo.
 
Huwa nambeba mama yako ili nimle vizuri
Hahaaaaaa, yaani Dar-Moro tu bro Makolokolo yote. Sasa ungekuwa Dar kwenda Kongo au South Africa kwa basi au unatoka Mtwara kwenda Tanga kwa miguu ukafanye kazi ya manamba kwenye shamba la mkonge je? Jikaze mwanaume usiwe kama mtoto wa kike. Utaolewa, kasafari kadogo mwanaume unabeba hadi Begi zima la Chu.....i na Boxer za kubadili njianu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahaaaaaa, yaani Dar-Moro tu bro Makolokolo yote. Sasa ungekuwa Dar kwenda Kongo au South Africa kwa basi au unatoka Mtwara kwenda Tanga kwa miguu ukafanye kazi ya manamba kwenye shamba la mkonge je? Jikaze mwanaume usiwe kama mtoto wa kike. Utaolewa, kasafari kadogo mwanaume unabeba hadi Begi zima la Chu.....i na Boxer za kubadili njianu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani huyo anabeba chupi safarini
 
Back
Top Bottom