Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sema unataka kununuwa kiwanja wapi na kina document gani ili ushauriwe, na je ni cha urithi?Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
1. Hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. Nakazia tena hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. (habari ya Power of Attorney achana nayo).Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
Siyo lazima, kuna power of Attorney.Hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali.
4. Nunua wakati wa kiangazi1. Hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. Nakazia tena hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. (habari ya Power of Attorney achana nayo).
2. Hakikisha mkataba wa mauziano umesainishwa na mwanasheria.
3. Ulizia historia ya hilo eneo kwa majirani(kama wapo).
Mengine wataongezea wachangiaji wengine.
Wewe huelewi vizuri unachokiandika, mtu atoke Marekani aje kuuza kiwanja chake Tanzania?1. Hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. Nakazia tena hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. (habari ya Power of Attorney achana nayo).
2. Hakikisha mkataba wa mauziano umesainishwa na mwanasheria.
3. Ulizia historia ya hilo eneo kwa majirani(kama wapo).
Mengine wataongezea wachangiaji wengine.
Ubarikiwe sana mpasuji 👊1. Hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. Nakazia tena hakikisha anayekuuzia ni mwenye mali. (habari ya Power of Attorney achana nayo).
2. Hakikisha mkataba wa mauziano umesainishwa na mwanasheria.
3. Ulizia historia ya hilo eneo kwa majirani(kama wapo).
Mengine wataongezea wachangiaji wengine.
Hapo kwenye kiangazi fafanua mkuu4. Nunua wakati wa kiangazi
5. Public road.
Utauziwa kiwanja panapojaaga maji.Hapo kwenye kiangazi fafanua mkuu