Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Dawa za kutibu malaria mfano quinine zinatengenezwa na nini? Au kwa kuwa nyeupe? Mwehu wewe mdharau chako!
 
Sijui radio producer wa wapi huyu..ebu fuatilieni nyendo zake...ohhh mara wabunge dodoma wanatembea na machangu doa (katika post zake za majuzi) akijiita mwandishi wa habari za uchunguzi...? Oh mara hana kazi ana tafuta kazi ya uandishi wa habari.... Wewe itabidi uwekwe mahali pengine si hapa..... Sikatai unayo yasema lakini kuwa na base kwa kitu unachotaka kusema.... Sasa hapa breaking news ni nini wewe unaejiita journalist?

Pole mkuu, umejigonga kwenye ukuta is it?? pole kaa tu chini sikilizia maumivu ujumbe umefika mengine utayaongea na hayakusaidia kitu! Pole
 
Bora umesema, Mungu gani hana common sense, badala ya kuwapa dawa watu wenye resources za kuifyatua fasta fasta amepeleka porini! Watu wanakufa wanaisubiria. Anyway sidhani kama Mungu angehitaji miti na dose angaamua tu ngoma ingeisha, sasa theatrics zote za nini hizi?

Watu wamekata tamaa ndo maana wanaweza kuamini kitu chochote. Hawa majamaa wanaibuka kila siku, na watu wanawatoa wagonjwa Hospitalini kuwapeleka kwao, seme huyu amekuwa hit kuliko wenzake.
Jump jump ok??...... okeeeeeeeeeeee
 
Ka search kwenye google kwa kuandika Sour sop halafu ukisha soma utafungua akili zaidi!
 
kama watu wanaamini inaponya na ushuhuda upo let them use it,kwan kuna shida gani tusijaribu kudiscourage watu,ndg yangu hujaumwa? au hujauguliwa acha mungu afanye maajabu yake...
 
Jaman mbavu sina mimi, yaani watu wameshakata tamaa ya maisha hivi unakubali uponyaji kwa mizizi huku mkiwa mmesubiliana hadi watu mamia! si angeamuru wapone kwa Neno tu sasa hadi wanakufa!
Upupu mwingine bana!:hand::hand::hand:

Kama ni kuhurumia watu unacheka nini sasa!!!!?
 
Jirani yangu Mama yake mzazi amepona alikuwa anasumbuliwa sana na sukari! hv sasa ni mzima wa Afya!!
 
Sijasikia mtu yeyote aliyeripotiwa kua kafariki wakati yupo kwenye foleni ya kunywa dawa.Pia hata kama yupo haitakua sahihi kusema kua sio mungu kwani hata waliokua wanatoka misri pamoja na musa mwenyewe hawakufika ktk ile nchi ya ahadi (kaanani) ambayo mungu aliwaandalia.
 
Katika UKOO wenu, wewe ndio sio MBISHI, na unaongoza kwa upole Loooooooohhhhh!
 
Mwache akabadilishe nepi kwani bado anajua @kizuri ni cha mzungu. Amesahau hata quinine ni mizizi.
 
Sijasikia mtu yeyote aliyeripotiwa kua kafariki wakati yupo kwenye foleni ya kunywa dawa.Pia hata kama yupo haitakua sahihi kusema kua sio mungu kwani hata waliokua wanatoka misri pamoja na musa mwenyewe hawakufika ktk ile nchi ya ahadi (kaanani) ambayo mungu aliwaandalia.
Mfano uliotoa haufanani. Unalinganisha safari na wagonjwa Loliondo? Kama hujasikia idadi ya walifariki nunua redio au TV kama huna uwe unaenda kusikiliza kwa jirani au kumuuliza anakuelewesha!
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.

Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?

Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640

Wewe ni Ma*t*ko kweli, go to hell wala usirudi kwa jukwaa!! F*ck you!!!!
 
Waweza kuwapaka hao jamaa but iko siku utajuwa ni kwanininsi ki kila mtu awezi kuwa dr au kuendesha gari!
 
Aleluyah!

Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu huyu Babu wa Loliondo na nguvu alizo nazo za kuweza kuponya maradhi mbali mbali ambayo ni sugu hapa duniani. NIkianza kutafakari neno la Mungu ambalo linasema siku za Mwisho watakuja Manabii wa uongo soma Mathayo sura yote ya 24.

Nimeona watumishi wengi wa Mungu ambao wamekuwa wakitumia Neno la Mungu kufunika matendo yao magumu na ya kichawi tukiambiwa kuwa hawa ni watu wa Mungu. Lakini baada ya Muda imedihirika kuwa ni nguvu za kishirikiana zimekuwa zikitumika. Utakumbuka kuwa Paulo alimtoa pepo mama mmoja ambaye alikuwa ni mjakazi wa mtu ambaye kwa kutumia hilo pepo lake la utambuzi alikuwa akitumika kuagua watu na Mabosi wakewalifaidika sana kimapato kwa kumtumia yeye ingawa yeye alikuwa hafaidiki zaidi ya kuwa mjakazi, na pale paulo alipolikemea na kutoka ikawa ndo mwisho wa mambo ya utabibu wake.

NI kweli nina uhakika kuwa Huyu alikuwa ni Mchungaji kule Imiti babati na leo hii amepewa nguvu za kuweza kutibu magunjwa kwa kutumia dawa ya mizizi. Sasa swali langu ni kitu gani kinachozuia yeye kufanya kazi sehemu nyingine yoyote nje ya eneo lake, je ni kwaninini hiyo dawa lazima akupe yeye kwa mkono wake mwenyewe?
Hii inanipa nafasi ya Kumtafakari pia Mtumishi mwingine aliye kuwa Mchungaji na baada ya kwenda Huko NIgeria na kurudi alirudi na upako wa ajabu sana amabo akikunyooshea mkono tu unaanguka na aliponyesha watu wengi sana lakini siku za hivi karibuni amepoteza umaarufu wote baada ya kujulikana kuwa natumia nguvu za giza kutekeleza hayo yote.

Leo hii natafakari jinsi watu wanavyo kwenda kwa wingi kutoka mikoa yote ya Tanzania na nje ya Tanzania sehemu ambayo haina miundo mbinu na si ajabu leo ukasikia magonjwa ya mlipuko huko Loliondo. Jana nimepewa taarifa kuna Msafara wa magari km 50 wanasubiri huduma hiyo.

Mimi sitaki kumkani huyu babu kwamba yeye ni wa Mungu lakini Neno la Mungu linasema tuzipime hizo roho.

rai yangu watu wa Mungu nisaidieni niweze fahamu ninyi ambao mmesha zipima hizo roho je ni kweli huyu ni mtu wa mungu na siyo anasaidiwa na Mizimu ya mahalia na ndiyo sababu hawezi amishia huduma yake sehemu nyingine? Na hivyo mizimu hii imekuja kwa Sura ya Malaika wa Nuru.

Nisaidieni kwani mimi ni mchanga kwenye Imani nahitaji msaada. Wasi wasi wangu isije kuwa tunakwenda kwa Mganga wa Kienyeji tukuifikiri ni mtu wa Mungu, yaani nalataka ni watu wajue kuwa ile ni nguvu ya Mungu au la ingawa inaponya.

Nawasilisha
Mungu awabarikLi sana![/QUOTE]

Ndugu hapo kwenye Rangi nyekundu inaonyesha ulianza kiroho umemalizia kimwili................teh teh teh yesu alikoroga tope na kumpaka kipofu machoni na akapona je .............???? hapo vipi............???? Unajua Haya maneno ya mitaaani ya eti Nigeria or Kuzimu au Kwaibilisi......Nguvu za giza kuponya wewe unachotaka nini...........Kila Mtu atahukumiwa kwa imani na Matendo yake...............Kama Mtu amepona Ukimwi TACAIDS acheni kusikitika chaangamkieni deal watu wapone chap chap mpeni ma VX yenu babu afanye kazi.........
 
Back
Top Bottom