Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mm...h!!?? Kama huyu mganga ni kweli basi MARA MOJA Serikali impeleke pake Muhimbili akasaidie kutoa huduma.
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.

Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?

Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640

Radio producer, umetumwa na kakobe?!, wewe ni thehebu gani?, mbona si watumishi wa mungu wote wenye karama ya uponyaji?, mbona si kila kanisa watu wakienda wanaponywa: nakushauri uache upumbavu.period.
 
Mfano uliotoa haufanani. Unalinganisha safari na wagonjwa Loliondo? Kama hujasikia idadi ya walifariki nunua redio au TV kama huna uwe unaenda kusikiliza kwa jirani au kumuuliza anakuelewesha!

kwa hiyo watu wakifia loliondo wakati huko walikotoka hata madktari bingwa walishawa-conderm ni kuonesha inefficiency ya mchungaji?!!!!!!:
 
Au ametumwa na Ndodi nini,maana anaona wivu wengine wakipona kirahisi hivyo
 
Wewe bwana hujui mahesabu?? ni wapi ambapo Mungu alitoa kipaji kwa mtu mmoja na akapata shida na kushindwa kuwahudumia wengine haraka iwezekanavyo?? Angalia mateso wanayopata wagonjwa wakati wanasubiria dawa na uwezekano wao kupata dawa haraka na Ujiulize Mungu gani asiyeweza kuongeza watendakazi wake?? Jana alisema itafikia hadi mwezi 1 kwa mtu kupata tiba kutokana na watu wa mabara mengine kuingia nchini zaidi! Swali watakufa wangapi kila siku?? mhuyo ni Mungu??

soma biblia vizuri, wakati wa safari ya wanawa israel walipofika jangwani musa akaenda mlimani alikuta wamechanganyikiwa, hawana chakula na mpaka wakaamua kuwaita waganga wa kienyeji, soma biblia vizuri. Mchungaji ambilikile ni mtume wa mungu wa kweli- acha ubishi.
 
Sio kila asemaye bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni.....inawezekana loriondo kukawa na wachungaji na watumishi wengi sana lakini kitu cha kujiuliza ni kwamba wanatimiza majukumu yao ipasavyo kwa kufuata maadili ya kazi yao! Au ndio wale wale wanaosema bwana bwana lakini mioyo yao haina hata chembe ya utumishi. Lakini pia unatakiwa ufahamu kwamba Mungu anapogawa talanta zake sio lazima agawe sawa kwa watu wote. Mungu ameamua kumgawia huyo babu wa loriondo kama wewe ni tomaso hauamini basi acha waaminio waende wakapate huduma hiyo na kuponywa. It is illogical kusema kwa nini Mungu asiwaoneshe dawa hiyo watu wenye resources akamuonesha mchungaji huko kijijini kwenye mazingira magumu.
 
Leo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.

Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.

MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.

13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
 
Kwa mpango huo, huyo Mungu wa babu wa Loliondo sidhani kama ni Mungu ambaye mimi namwabudu! Mhhh...ngoja tuendelee kusikilizia, mengi tutasikia!
Asante kwa taarifa hii!
 
hata mimi simuabudu Mungu huyo
 
Mhhh!!!
Huyo babu anatakiwa kuapply demand na supply theory....demand ni kubwa sana, inabidi apandishe bei ili aweze hata kutengeneza mazingira ya kituo chake!

Haruhusiwi kwa mujibu wa ndoto aliyooteshwa. Jero kwa kikombe kwishatoa tiba!
 
Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.
[/COLOR]

Taarifa nyingine ni za kutunga tuu! si kweli kuwa mchungaji huyu hutolea dawa chini ya mti! Si kweli kuwa hatoki zaidi ya umbali wa mita tano kuwapa watu dawa! Waandishi wengine wapo wapo tu kuupotosha ukweli. Ukweli ni kuwa huwa anatoa dawa mlangoni mwa kibanda chake kidogo akaacho ambacho kiko karibu na anakochemshia dawa na sio chini ya mti kama huyo anayejiita mwandishi anavydai. sii kweli kuwa ukitoka na dawa hiyo huwa sumu ila huisha nguvu ya uponyaji. Fikiria kuwa dawa hii ikitolewa hovyohovyo na kunywewa majumbani! Hatari iliyoko ninyi maadui wake mtaichakachua na kuiingiza katika biashara na mwisho kuifanya sumu ili mumwaangamize mchungaji wa watu. Mimi nilishuhudia akitoka kama umbali wa mita 15 hadi kwenye barabara na kugawa dawa kwenye magari. Anayesema huruhusiwi kutoka umbali wa mita 5 mwongo mkubwa! Taarifa nyingine ni zile zile za kukaa guest house na kuripoti taarifa ndizo sizo. Mimi nimeshuhudia sikuambiwa na mtu. Na kama anabisha mtu na aende akashuhudie na sio bla bla tu!
 
Mhhh!!!...yatasemwa mengi! yetu masikio sasa!!!
 
Am not say that just for my mouth! Am saying that because I have seen it. I have seen the real place. I spent 1 full day there. Na kwa mtu mdadisi utajua mengi tu. Huyu bwana anayejiita mwandishi aliandika habari yake akiwa mto wa mbu na sio loliondo!
 
Nyinyi mnaompinga babu wala c wagonjwa mngekuwa wagonjwa mngekuwa wa kwanza kunywa dawa ya babu,dadangu dena upoooo!
 
Leo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.

Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.

MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.

13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.

Hi , Guy!!

PLEASE JUSTIFY THE STORY!!!
 
Mhhh!!!
Huyo babu anatakiwa kuapply demand na supply theory....demand ni kubwa sana, inabidi apandishe bei ili aweze hata kutengeneza mazingira ya kituo chake!

Nimesoma mahali (gazeti fulani silikumbuki vizuri) wanasema watu laki 2 wanatibiwa kwa siku. Ina maana kwa gharama ya shs. 500 kwa mtu babu anaingiza Tshs. 100M kwa siku. Sijui kama hii ni kweli. Kama ni kweli basi babu yuko hatarini kuvamiwa na majambazi pia. Inabidi watu wa mabenki waangalie namna ya kumsadia kumwekea pesa zake na ulinzi uimarishwe mahali pale.
 
Leo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.

Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.

MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.

13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
HUYO SI MGANGA, NI MCUNGAJI NA PIA NENDA KAJARIBU KUSOMA MFANO WA NAAMAN yule JEMEDARI WA SHAMU ALIYEPEWA SHARTI NA NABII ELISHA ATUMBUKIE MTO JORDAN, akakebehi na kusema kwani ile mito ya kwetu ABANA NA FARPAR si mito? Kwani lazima nitumbukie JORDAN? Lakini ndivyo alivyotakiwa na baada ya kujitosa JORDAN akapona. 2KINGS 5:12 So , think my friend
 
Umesema sawani babu anaponya siyo kutumia utume wa Mungu! Tunajua pote ni Mungu anayeponya hata hospitali au wapi! Ila babu atumie jina lake!

Lakini acha Mungu ajitwalie utukufu, kwani yeye amesema kila alitajaye jina la bwana na aache uovu! I understand your concern lakini pia ubishi juu ya mambo ya Mungu kwa watakatifu ni najisi angalia usije najisiwa na utakapo break the headge basi the serpent will beat you! Acha wafu wazike wafu wenzao....Soma 2Tim 2: 8-26; Lakini ntakupa emphasis kwenye verse 16; 19 and 23-24. Ubarikiwe na bwana.
 
Kwa mpango huo, huyo Mungu wa babu wa Loliondo sidhani kama ni Mungu ambaye mimi namwabudu! Mhhh...ngoja tuendelee kusikilizia, mengi tutasikia!
Asante kwa taarifa hii!
Hulazimishwi kuamini, na hata usipoamini Mungu hatakuchapa makofi. Wewe mwamini Mungu wako unayemjua na umwombe akuonyeshe kama huyo mzee ni mtu wake kweli au ni mzushi. Which is not easy.Inasemekana chungaji kafunga na kuomba for yrs akiomba kuonyeshwa, dawa. Kama unaweza kuutafuta uso wake na kufunga na kuomba na kuacha dhambi na kutubu, basi atasikia kutoka juu na kukusamehe dhambi zako kuiponya nchi yako. 2 Nyakati 7:14-15
 
Back
Top Bottom