Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha ahahahaha ahahah. yaani ni noma, wabongo wengi ni wagonjwa, najua wengi hawasemi, ila asilimia kubwa walioenda huko kwa babu ni ngoma, hahahahahahaaaaaaaaaaaa, nandiomaana husikii waliopona wakijitokeza hadharani
miss x usidhihaki bana...
Nadhani alikunywa km watu wengine; hakunywa km kamanda.picha kamanda wa polisi akinywa dawa kwa babu
Nadhani alikunywa km watu wengine; hakunywa km kamanda.
Kumbe wana-Intelejensia na wamo :wink2:
View attachment 24768
Kamanda hapo alijivunjia kutovua kofia wakati wa kunywa dawa, tehe tehe tehe. Babu kiboko!
hahahahahaha ahahahaha ahahah. yaani ni noma, wabongo wengi ni wagonjwa, najua wengi hawasemi, ila asilimia kubwa walioenda huko kwa babu ni ngoma, hahahahahahaaaaaaaaaaaa, nandiomaana husikii waliopona wakijitokeza hadharani
Kaka, bado tu hujasikia kuwa unatakiwa kuinywa hiyo dawa in his presence, na kwamba ukichukua halafu akaenda kunywea pembeni haifanyi kazi? Then you must be deaf. Watu wangechukuliana kwa vile wengine hawawezi vitandani. Open your eyes and see. Kuponya kwangu si tatizo, I am on the faith part. Je, hayo mafunuo ni ya Mungu nimwabuduye MIMI? Mungu wangu huleta miujiza mingi tu beyond ufahamu wetu. Lakini miujiza yake hudhihirishwa ili imtukuze yeye, iwavute watu kumwabudu yeye tu. Haya sasa linganisha na huo muujiza wa babu wa Loliondo. Je, baada ya kunywa na "kupona" umeondoka ukimtukuza nani?
ISAIAH 42 : 8
I [am] the LORD: that [is] my name: and my glory will I not give to another, neither my praise to graven images.
acha kutufanya sisi ni vihiyo hapa, wewe ungekuwa na ukimwi sijui kama ungekuwa hapa JF sa hivi. Sem ukweli wako mpendwa
View attachment 24768
Kamanda hapo alijivunjia kutovua kofia wakati wa kunywa dawa, tehe tehe tehe. Babu kiboko!