Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.
1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
Mfano uliotoa haufanani. Unalinganisha safari na wagonjwa Loliondo? Kama hujasikia idadi ya walifariki nunua redio au TV kama huna uwe unaenda kusikiliza kwa jirani au kumuuliza anakuelewesha!
Wewe bwana hujui mahesabu?? ni wapi ambapo Mungu alitoa kipaji kwa mtu mmoja na akapata shida na kushindwa kuwahudumia wengine haraka iwezekanavyo?? Angalia mateso wanayopata wagonjwa wakati wanasubiria dawa na uwezekano wao kupata dawa haraka na Ujiulize Mungu gani asiyeweza kuongeza watendakazi wake?? Jana alisema itafikia hadi mwezi 1 kwa mtu kupata tiba kutokana na watu wa mabara mengine kuingia nchini zaidi! Swali watakufa wangapi kila siku?? mhuyo ni Mungu??
Leo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.
Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.
MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.
13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Kwa mpango huo, huyo Mungu wa babu wa Loliondo sidhani kama ni Mungu ambaye mimi namwabudu! Mhhh...ngoja tuendelee kusikilizia, mengi tutasikia!
Asante kwa taarifa hii!
Mhhh!!!
Huyo babu anatakiwa kuapply demand na supply theory....demand ni kubwa sana, inabidi apandishe bei ili aweze hata kutengeneza mazingira ya kituo chake!
Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.
[/COLOR]
Taarifa nyingine ni za kutunga tuu! si kweli kuwa mchungaji huyu hutolea dawa chini ya mti! Si kweli kuwa hatoki zaidi ya umbali wa mita tano kuwapa watu dawa! Waandishi wengine wapo wapo tu kuupotosha ukweli. Ukweli ni kuwa huwa anatoa dawa mlangoni mwa kibanda chake kidogo akaacho ambacho kiko karibu na anakochemshia dawa na sio chini ya mti kama huyo anayejiita mwandishi anavydai. sii kweli kuwa ukitoka na dawa hiyo huwa sumu ila huisha nguvu ya uponyaji. Fikiria kuwa dawa hii ikitolewa hovyohovyo na kunywewa majumbani! Hatari iliyoko ninyi maadui wake mtaichakachua na kuiingiza katika biashara na mwisho kuifanya sumu ili mumwaangamize mchungaji wa watu. Mimi nilishuhudia akitoka kama umbali wa mita 15 hadi kwenye barabara na kugawa dawa kwenye magari. Anayesema huruhusiwi kutoka umbali wa mita 5 mwongo mkubwa! Taarifa nyingine ni zile zile za kukaa guest house na kuripoti taarifa ndizo sizo. Mimi nimeshuhudia sikuambiwa na mtu. Na kama anabisha mtu na aende akashuhudie na sio bla bla tu!
Mhhh!!!...yatasemwa mengi! yetu masikio sasa!!!
Leo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.
Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.
MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.
13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Mhhh!!!
Huyo babu anatakiwa kuapply demand na supply theory....demand ni kubwa sana, inabidi apandishe bei ili aweze hata kutengeneza mazingira ya kituo chake!
HUYO SI MGANGA, NI MCUNGAJI NA PIA NENDA KAJARIBU KUSOMA MFANO WA NAAMAN yule JEMEDARI WA SHAMU ALIYEPEWA SHARTI NA NABII ELISHA ATUMBUKIE MTO JORDAN, akakebehi na kusema kwani ile mito ya kwetu ABANA NA FARPAR si mito? Kwani lazima nitumbukie JORDAN? Lakini ndivyo alivyotakiwa na baada ya kujitosa JORDAN akapona. 2KINGS 5:12 So , think my friendLeo nimesikiliza kipindi cha matukio WAPO FM nimepatwa na msituko mkubwa. Reporter alikuwa mmoja wa wateja wa babu. Ilipofika zamu yake ya kuhudumiwa aliamua kumuuliza babu maswali machache. Kwanza alimwomba amwonyeshe huo mti anaotumia, akaoneshwa. Lakini akapewa na tahadhari kwamba mti huo una sumu kali sana, na kwamba kama atakwenda kunywa mwenyewe tofauti na pale kwa yule babu mauti yanaweza kumkuta. Masharti ni kunywa dawa inayotolewa na babu, tena chini ya mti uleule uliopo nyumbani kwa babu. Ukisogea hata mita tano tu kutoka kwenye mti huo basi dawa ina-expire na kuwa sumu.
Hebu sasa tumjadili huyo mungu aliyepo chini ya mti wa kutolea dozi hapo Loliondo.
MARKO 13
13:22 Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.
13:23 Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Umesema sawani babu anaponya siyo kutumia utume wa Mungu! Tunajua pote ni Mungu anayeponya hata hospitali au wapi! Ila babu atumie jina lake!
Hulazimishwi kuamini, na hata usipoamini Mungu hatakuchapa makofi. Wewe mwamini Mungu wako unayemjua na umwombe akuonyeshe kama huyo mzee ni mtu wake kweli au ni mzushi. Which is not easy.Inasemekana chungaji kafunga na kuomba for yrs akiomba kuonyeshwa, dawa. Kama unaweza kuutafuta uso wake na kufunga na kuomba na kuacha dhambi na kutubu, basi atasikia kutoka juu na kukusamehe dhambi zako kuiponya nchi yako. 2 Nyakati 7:14-15Kwa mpango huo, huyo Mungu wa babu wa Loliondo sidhani kama ni Mungu ambaye mimi namwabudu! Mhhh...ngoja tuendelee kusikilizia, mengi tutasikia!
Asante kwa taarifa hii!