Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Vizuri ungetafuta mtu ambaye unamjua kuwa ni mgonjwa na alikwenda kwa babu au hata ndugu zake wa karibu/wanaomuuguza ili wakuthibitishie maendeleo yake baaya ya kutumia hiyo dawa.Hapa jf si pa kupaamini sana kwa issue sensitive kama hii
 
Hawa viongozi wote ni wanaumwa nini kama c ngoma jamani
 
Nikithibitisha kwamba nilienda na nimepona utanipigwa swali la pili kuwa...."Ulikuwa unaumwa ugonjwa gani"
Sasa hapo ndio kwenye mgogoro!
 
ni kazi tu ndiyo inamfanya avae magwanda
Afande pia ni binadam kama sisi na kama ni maradhi hata yeye anaweza kuwa nayo,big up afande kwa kuokoa maisha yako huku ukiwaacha watu wanashangaa.
 

Nenda wewe kwanza halafu utuletee matokeo na sisi twende, 😛lane:
kwani unasumbuliwa na nini?
 
Sidhani kama ni rahisi namna hiyo.
Nisikukatishe tamaa lakini, ngoja tusubirie, labda watasema
Wewe kikombe unacho hapo si ulete majibu au sio cha babu hicho? :A S-coffee::ranger:
 
mmhh
hizi stori za lolliondo zimekuwa nyingi sana humu JF
na hata sielewei ..

kuna mtu ambaye anaweza kunielewesha ni nini kinaendelea huko???

tafadhali usinijibu kama huna nia ya kunijulisha
AD.....
 

Nakuunga mikono na miguu PakaJimmy
 
Kama ni kazi ya MUNGU kweli,akuna atakae weza kuiangamiza.kama ni kazi ya yule mwovu akika muda si mrefu ukweli utaonekana!let's pray
And have faith,hope and love to Jesus
 
Tahadhari! Hebu tujiulize. Hivi dawa ya babu kama ni sumu ya kuondoa pole pole itakuwaje? Nani anajua athari zake? Huyu Babu mwenyewe umri umeenda inawezekana akili zake zimeanza kupoteza majira lakini kila mtu anakimbia huko.

Hiii sii hoja hoja ni kwamba Hivi kweli watanzania uwezo wa kufikiri umefika mwisho?
Hivi tutaendelea kubahatisha mambo mpaka lini? Wasomi wako wapi?Madaktari nao wamefta mkia kama Kakobe? Je? Serikali nayo inaongozwa kwa bahati nasibu.Madhara yakitokea watatuambia JANGA?

Kwa staili hii tusitegemee kupata maendeleo kwa lolote katika nchi hii. Na ninani alaumiwe kwa hili?

CHUKUA HATUA LEO USISUBIRI KESHO.

Poleni watanzania mtakaodhurika na mogariga.
 
waache wafe, kwani wasipokunywa ndo watapona?kaka watu wamekata tamaa ndio maana unaona hivyo chochote kile chenye matumaini kwao ni kimbilio
 
ona huyu nae ......umekunywa mapuya yako huko unakuja hapa na kuandika upuuzi kama huu

huna maana kabisa
 

kaka ungekuwa hoi kwa kisukari upo kitandani kwako kila kitu unamalizia hapo hapo sidhani kama ungeyasema haya, anyway mungu akufunulie upeo wa kuchanganua hoja na unachokisema kumbuka kinajiandika rohoni mwako usije kuyala matamshi yako siku za usoni.

Kwa taarifa yako hata hao wazungu wana mambo ya kiimani, nafikiri hujatembea ndugu yangu fungua macho.
 
Jamani niekuwa nikifuatilia kwa muda kwa watu wanaompinga badu wa Loliondo, nilitaka kujua tuu kama babu anajitangaza au ni watu wanamfuata wenyewe maana nimeona watu wanachonga sana kuhusu yeye haswa huyu Jambazi KAKOBE, Jambazi Mwingira na lijambazi ROSTAM
Naomba kutoa hoja
 
Poleni wote ambao shetani amewafunika na Kikombe cha babu wa loliondo.

Hakika mtafia humo na hakuna atayewasaidia.Huyo mtu hakutumwa na mungu.

Mungu wetu hafanyi kazi kama anavyofanya yeye na masharti anayotoa yeye.

masharti yako kwa waganga wa kienyeji na wachawi!

OLE OLE OLE! na babu wenu.
 
Wengi wamepiga kavu hivyo hawajiamini kiafya na hawataki kujua ukweli hiyo wanaenda kugonga kikombe kama vijidudu vipo vikutane juu kwa ju na kikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…