Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Kaka pole sana
Unaelekea unawasiwasi wa kukosa kazi.either unafanya kazi kwenye NGO's za ngoma na unaona clients wanapungua.Don't stick in idea.

tiba ya babu ikifail watarudi hukooo kwenye NGOs,by that time dawa zitakuwa haziwafai tena na uwezo wa kuwapatia dawa nyingine utakuwa mdogo.sirikali inalitambua hili lakini imekaa kimya.
 
usoni.

Kwa taarifa yako hata hao wazungu wana mambo ya kiimani, nafikiri hujatembea ndugu yangu fungua macho.
mkuu wazungu hawana imani za kipuuzi kama hizi,dunia ya leo huhitaji kutembea ili ufahamu mambo.unahitaji kukaa mbele ya monitor na kutafuta ukweli,fungua maskio!!!!!!!!!
 
hizo arguments haziingii akilini mwangu, Babu alipata ufunuo wa kiMUNGU na ametii. Wagonjwa wanapona na wanaelekezwa kwenda kutoa sadaka wanapoabudu. Nini mnataka zaidi jamani!
 
hakuna hoja hapa!unaleta imani za vita ya majimaji??
 
Hata hivyo katika hiyo 500 sh 200 inaenda kanisa la hapo Samunge-Sonjo,sh 200 kwa vijana wanaoenda mlimani kuchimba na kubeba dawa na sh 100 inabaki kwa babu
 

Kabla hujaanza kumlaumu babu kama dawa zake ni sumu ama la, ningekuona una point kama ungepiga kelele uingizwaji nchini wa madawa feki ya mahospitalini na yale yalioisha muda wake. Ukishamaliza hayo ndio uanze kumpigia babu wa watu kelele. Naamini dawa feki ni hatari sana kuliko hiyo mitishamba ya babu. Go Babuuu
 
Kuna mtu kaniaga anaenda Loliondo kwa babu nikamuuliza nini kinampeleka ni kale kajitu,presha au sukari? akasema 'wala, mi naenda ku flush tu',nimechoka kabisa.
hahahahaa!!!
 
Mimi wasi wasi wangu ni je, huo mti porini ukiisha halafu soko la wateja bado ni kubwa, babu atafanyaje?

Hamuoni kama anaweza kuchemsha majani yoyote yale na watu wakanywa manake hamna anaye hakikisha kuwa majani yachemshwayo ni yale yale.

Mine eyes kwa kweli.
 
acha akigonge! Hawa ndo wenyewe kwa maradhi haya mapya!
 
Mimi nadhani suala la imani tumwachie kila mtu afanye maamuzi yake. Mimi sijafika kwa babu lkn habari zake zilivyoenea inaonyesha kuna nguvu isiyo ya kawaida. Kuhusu kukubalika hawezi kukubaliwa na kila mtu. Hata Yesu hakukubaliwa na watu wote mpaka leo. Kusema babu ni mhongo haitatoa uwezo wa uponyaji. Ni kama vile kusema Yesu hakuwepo haiondoi ukweli kuwa Yesu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele. Waache watu waamini kama wanataka kuamini
 
kuna mwandisi mmoja amejaribu hii-ila kajifanyia uchunguzi yeye mwenyewe-soma gazeti la majira la juzi-kuna makala ya mwandishi mmoja aliekwenda loliondo-kwanza kuona hali halisi,pili naye kupata dawa-alifanikiwa kupata vyote alivyofwata-na ukisoma hio makala yake yeye mwenyewe ame-acknowledge dawa ya babu kwa kuwa matatizo yake yaliyokuwa yakimsumbua yalipona na sasa anaendelea vizuri
 
Foleni za DAR ZIMEPUNGUA SANA,toka jumatatu hadi leo thursday nimegundua natumia muda mfupi sana ktk foleni za barabarani,
kwa udadisi wangu foleni zimepungua kama inavyokuwa kipindi cha December foleni dar huwa zinapungua sana. naona watu wameenda loliondo.

kama ni hivyo basi watu wa Dar wengi wetu ni wagonjwa wa magonjwa Sugu,inatisha kweli kweli
 
umepita na kwenye petrl station ukasoma kuanzia jtatu chozi la ghadafi lilikuwa linasomeka kwenye ngapi?
 
Yaani kuna watu wanapenda watz waendelee kuteseka ili wao wafaidike as kuna NGOS nyingi zinazoshughulikia ukimwi
Imekula kwenu babu anadunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…