kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
yaonyesha unahusudu mataputapu ile mbaya.ona huyu nae ......umekunywa mapuya yako huko unakuja hapa na kuandika upuuzi kama huu
huna maana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaonyesha unahusudu mataputapu ile mbaya.ona huyu nae ......umekunywa mapuya yako huko unakuja hapa na kuandika upuuzi kama huu
huna maana kabisa
Kaka pole sana
Unaelekea unawasiwasi wa kukosa kazi.either unafanya kazi kwenye NGO's za ngoma na unaona clients wanapungua.Don't stick in idea.
mkuu wazungu hawana imani za kipuuzi kama hizi,dunia ya leo huhitaji kutembea ili ufahamu mambo.unahitaji kukaa mbele ya monitor na kutafuta ukweli,fungua maskio!!!!!!!!!usoni.
Kwa taarifa yako hata hao wazungu wana mambo ya kiimani, nafikiri hujatembea ndugu yangu fungua macho.
hakuna hoja hapa!unaleta imani za vita ya majimaji??Jamani niekuwa nikifuatilia kwa muda kwa watu wanaompinga badu wa Loliondo, nilitaka kujua tuu kama babu anajitangaza au ni watu wanamfuata wenyewe maana nimeona watu wanachonga sana kuhusu yeye haswa huyu Jambazi KAKOBE, Jambazi Mwingira na lijambazi ROSTAM
Naomba kutoa hoja
Tahadhari! Hebu tujiulize. Hivi dawa ya babu kama ni sumu ya kuondoa pole pole itakuwaje? Nani anajua athari zake? Huyu Babu mwenyewe umri umeenda inawezekana akili zake zimeanza kupoteza majira lakini kila mtu anakimbia huko.
Hiii sii hoja hoja ni kwamba Hivi kweli watanzania uwezo wa kufikiri umefika mwisho?
Hivi tutaendelea kubahatisha mambo mpaka lini? Wasomi wako wapi?Madaktari nao wamefta mkia kama Kakobe? Je? Serikali nayo inaongozwa kwa bahati nasibu.Madhara yakitokea watatuambia JANGA?
Kwa staili hii tusitegemee kupata maendeleo kwa lolote katika nchi hii. Na ninani alaumiwe kwa hili?
CHUKUA HATUA LEO USISUBIRI KESHO.
Poleni watanzania mtakaodhurika na mogariga.
hahahahaa!!!Kuna mtu kaniaga anaenda Loliondo kwa babu nikamuuliza nini kinampeleka ni kale kajitu,presha au sukari? akasema 'wala, mi naenda ku flush tu',nimechoka kabisa.
kuna mwandisi mmoja amejaribu hii-ila kajifanyia uchunguzi yeye mwenyewe-soma gazeti la majira la juzi-kuna makala ya mwandishi mmoja aliekwenda loliondo-kwanza kuona hali halisi,pili naye kupata dawa-alifanikiwa kupata vyote alivyofwata-na ukisoma hio makala yake yeye mwenyewe ame-acknowledge dawa ya babu kwa kuwa matatizo yake yaliyokuwa yakimsumbua yalipona na sasa anaendelea vizurikinachonisikitisha ni uvivu wa waandishi wetu katika kazi zao za kiandishi.hawana uwezo wa kufanya investigative jouarnalism.
Waandishi mnaosoma hii thread nendeni loliondo fuatilieni mgonjwa ambaye ameacha dawa za hospitali na kunywa dawa ya babu halafu subirini siku 14 muende naye hospitali kufanya vipimo na hapo mtatupa jibu kamili kama babu anatibu au la.acheni kudakia minong'ono ya mtaani na kuifanya ndio headline ya habari zenu,umizeni vichwa!