geophysics
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 904
- 167
Sijui radio producer wa wapi huyu..ebu fuatilieni nyendo zake...ohhh mara wabunge dodoma wanatembea na machangu doa (katika post zake za majuzi) akijiita mwandishi wa habari za uchunguzi...? Oh mara hana kazi ana tafuta kazi ya uandishi wa habari.... Wewe itabidi uwekwe mahali pengine si hapa..... Sikatai unayo yasema lakini kuwa na base kwa kitu unachotaka kusema.... Sasa hapa breaking news ni nini wewe unaejiita journalist?