Ebo hivi unataka nisemeje ili uamini nimekutajia mpaka jina na sehemu anayoishi kazi gani alikuwa akifanya na kwa taarifa zaidi alikuwa na wake wawili.Ikiwa huna nafasi leo, kesho au siku nyingine pitia hapo Sekei uliza habari zake utaambiwa si vibaya ukiwa Tomaso.
Kabonde mbona umekua mkali hivyo ndugu yangu? unajua hii story inafurahisha sana ingekuwa nawahi kutoka kazii mbona ningekuja kushuhudia mie.