Mambo ya long weekend

Sio poa hii wik end. Nipo mwenyewe home nasubiri game ya Man u nitizame ikiisha naibuka kiwanja kimoja kuna karaoke kuna happen sana sijui nitarudi sangap home.
 
Sie wenye wake na watoto tupo kusikiliza mikelele ya Cocomelon kwa siku 3 mfululizo.

Toka saa kumi nasikia za wheel on the bus goes round and round mpaka najikuta na mimi naiimba baada ya kunikera. Na huu ndio mwendo wa siku 3 zijazo.
We jamaa ni fwaaalaaa 🤣🤣🤣
 
Nipo nimejilaza na kitandani na mtoto wangu namtazama simmalizi....namwombea mema huku nikisikiliza wimbo wa Harmonize...nitaubeba🎶🎶🎶🎵🎵
Mtoto yule mkubwa au mdogo
 
Nipo nimejilaza na kitandani na mtoto wangu namtazama simmalizi....namwombea mema huku nikisikiliza wimbo wa Harmonize...nitaubeba[emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Mama naomba niwe mwanao wa kufikia na mm
 
Sio poa hii wik end. Nipo mwenyewe home nasubiri game ya Man u nitizame ikiisha naibuka kiwanja kimoja kuna karaoke kuna happen sana sijui nitarudi sangap home.
Me mwenyewe naangalia game ya man hapa geto.Ikiisha nalala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…