Mambo ya long weekend

Mambo ya long weekend

Sio poa hii wik end. Nipo mwenyewe home nasubiri game ya Man u nitizame ikiisha naibuka kiwanja kimoja kuna karaoke kuna happen sana sijui nitarudi sangap home.
 
Sie wenye wake na watoto tupo kusikiliza mikelele ya Cocomelon kwa siku 3 mfululizo.

Toka saa kumi nasikia za wheel on the bus goes round and round mpaka najikuta na mimi naiimba baada ya kunikera. Na huu ndio mwendo wa siku 3 zijazo.
We jamaa ni fwaaalaaa 🤣🤣🤣
 
Nipo nimejilaza na kitandani na mtoto wangu namtazama simmalizi....namwombea mema huku nikisikiliza wimbo wa Harmonize...nitaubeba[emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Mama naomba niwe mwanao wa kufikia na mm
 
Sio poa hii wik end. Nipo mwenyewe home nasubiri game ya Man u nitizame ikiisha naibuka kiwanja kimoja kuna karaoke kuna happen sana sijui nitarudi sangap home.
Me mwenyewe naangalia game ya man hapa geto.Ikiisha nalala
 
Back
Top Bottom