Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ishu hii huwa na mlengo tofauti au mtazamo tofautiKijana yeyote yule Never date a single mother 😣,, hii ni muhimu sana.
Uzi mzuri,tuishi nao kwa akili,napigilia nyundo hapo kwenye namba 5 📌 ...View attachment 3173020
Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana
Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi gani haita mzuia yeye kukuacha,akiamua kukuacha atakuacha tu
Tatu,mjali mpenzi wako au mke wako lakini usijisahau nawe kujiwekea kipaumbele,jithamini nawe pia,usikose vitu vizur au mambo mazuri kwasababu ya kujinyima ili mwanamke wako afurahi
Nne,jitahidi kumridhisha mwanamke kitandani kwa kadri ya uwezo wako,lakini usiharibu afya yako ya uzazi kwa kutumia sijui mkongo na aina nyingine za viagra,mwisho wa siku ukawa mtegemezi wa mambo hayo
Tano,mhudumie mwanamke kwa mapenzi yako na kwa utashi wako,lakini kamwe usidhani kwa kufanya hivyo ndio sababu ya kutoachwa,jua tu kwamba hizo ni huduma tu na si agano au kinga ya kutoachwa,ili ukiachwa usipate msongo wa mawazo kuwa umemgharamia sana
Sita,mpende mwanamke unavyo mpenda lakini usipoteze uanaume wako,kuwa na msimamo,ukisema mbele tembea na iwe hivyo,na ukisema nyuma geuka na iwe hivyo,wanawake wanapenda kuongozwa na sio kuwa na mwanaume ambaye hajui nafasi yake
Saba,kumfuatilia sana mwanamke na kumchunguza ni dalili kwamba una udhaifu mkubwa juu yake au dhaifu kiasi kwamba hujiamini kama anaweza kuwa wako peke yako,hivyo unataka kumlinda kitu ambacho hauta kiweza kamwe
Nane,kuwa na mwanamke au mkeo lakini usimfanye yeye ndio kila kitu chako,kwa maana furaha yako isitegemee uwepo wake maishani mwako,ili siku akiondoka uweze kuendelea na maisha kama kawaida,katika ulimwengu wa mapenzi moyo umeficha mengi
Tisa,kama ambavyo maisha ni kupanda na kushuka,basi hata mapenzi nayo yapo hivyo,leo utalia na kesho utafurahi,mzungumko uko hivyo,kwahiyo wakati wa kufurahi furahi na wakati wa kulia we lia,maisha ndio yalivyo
Kumi,hakuna mjanja katika mapenzi,kwakuwa hujapata misukosuko sasa basi usiwaone wengine ni wajinga,trust me siku yako inakuja na utaelewa hiki ninachosema
Mwisho,Mapenzi hayana mwenyewe ndio maana kila mtu anaumizwa kwa namna moja au nyingine,iwe tajir au maskini wote wamewahi kuumizwa na wanaendelea kuumizwa
Natamani mwanangu wa kiume wa kwanza ayajuaye haya mapema,au Mungu anipe umri mrefu ili ifikie kipindi tuyazungumze haya man to man
Ni hayo tu!
Hao wanaoji elewa ni kama 5%, na kuwapata labda mapenzi ya Mwenyezi Mungu yaamue kutimia kwako 😎Kwa ishu hii huwa na mlengo tofauti au mtazamo tofauti
Ni kweli asimilia kubwa ya masingle mother huwa wanazingua lkn haimaanishi wote wako hivyo
Kuna ambao wanajielewa kwakuwa wamepata second chance hivyo huwa makini na bora zaidi
Kwa mtazamo wangu kuwapa lawama wote kuwa hawajielewi naona tunawaonea
Mapenzi hayana mwenyewe
Kwa maoni yangu hawa wanawake ni kweli wengi wao wapo na mambo ambayo sio mazuri,huwa wanakawaida ya kuwarudia wazazi wenzao,lkn sio wote ambao wako hivyo ni wachache sana ambao wamesalimika na tabia hiyoMkuu mbona haujasema vijana wajiepushe na single mama
✔️✔️✔️View attachment 3173020
Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana
Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi gani haita mzuia yeye kukuacha,akiamua kukuacha atakuacha tu
Tatu,mjali mpenzi wako au mke wako lakini usijisahau nawe kujiwekea kipaumbele,jithamini nawe pia,usikose vitu vizur au mambo mazuri kwasababu ya kujinyima ili mwanamke wako afurahi
Nne,jitahidi kumridhisha mwanamke kitandani kwa kadri ya uwezo wako,lakini usiharibu afya yako ya uzazi kwa kutumia sijui mkongo na aina nyingine za viagra,mwisho wa siku ukawa mtegemezi wa mambo hayo
Tano,mhudumie mwanamke kwa mapenzi yako na kwa utashi wako,lakini kamwe usidhani kwa kufanya hivyo ndio sababu ya kutoachwa,jua tu kwamba hizo ni huduma tu na si agano au kinga ya kutoachwa,ili ukiachwa usipate msongo wa mawazo kuwa umemgharamia sana
Sita,mpende mwanamke unavyo mpenda lakini usipoteze uanaume wako,kuwa na msimamo,ukisema mbele tembea na iwe hivyo,na ukisema nyuma geuka na iwe hivyo,wanawake wanapenda kuongozwa na sio kuwa na mwanaume ambaye hajui nafasi yake
Saba,kumfuatilia sana mwanamke na kumchunguza ni dalili kwamba una udhaifu mkubwa juu yake au dhaifu kiasi kwamba hujiamini kama anaweza kuwa wako peke yako,hivyo unataka kumlinda kitu ambacho hauta kiweza kamwe
Nane,kuwa na mwanamke au mkeo lakini usimfanye yeye ndio kila kitu chako,kwa maana furaha yako isitegemee uwepo wake maishani mwako,ili siku akiondoka uweze kuendelea na maisha kama kawaida,katika ulimwengu wa mapenzi moyo umeficha mengi
Tisa,kama ambavyo maisha ni kupanda na kushuka,basi hata mapenzi nayo yapo hivyo,leo utalia na kesho utafurahi,mzungumko uko hivyo,kwahiyo wakati wa kufurahi furahi na wakati wa kulia we lia,maisha ndio yalivyo
Kumi,hakuna mjanja katika mapenzi,kwakuwa hujapata misukosuko sasa basi usiwaone wengine ni wajinga,trust me siku yako inakuja na utaelewa hiki ninachosema
Mwisho,Mapenzi hayana mwenyewe ndio maana kila mtu anaumizwa kwa namna moja au nyingine,iwe tajir au maskini wote wamewahi kuumizwa na wanaendelea kuumizwa
Natamani mwanangu wa kiume wa kwanza ayajuaye haya mapema,au Mungu anipe umri mrefu ili ifikie kipindi tuyazungumze haya man to man
Ni hayo tu!
Yote hayo ni kwakuwa binadamu ni kiumbe mbinafsi sanaView attachment 3173020

Nilioa single maza kienyeji nikakaa nae miaka kumi alikuwa ni mzuri pia alinifaa sana kwa miaka yote hiyo mpaka tulipoachana kanizalia watoto wawili imetosha..Hao wanaoji elewa ni kama 5%, na kuwapata labda mapenzi ya Mwenyezi Mungu yaamue kutimia kwako 😎
Most of them hawajielewi hata kidogo.