Mambo ya Mapenzi ambayo nimejifunza late katika maisha ambayo kijana wa sasa unatakiwa ujifunze mapema

Kwenye kumridhisha mwanamke kitandani nani ana S.I. UNIT!
 
Kijana yeyote yule Never date a single mother 😣,, hii ni muhimu sana.
 
Kijana yeyote yule Never date a single mother 😣,, hii ni muhimu sana.
Kwa ishu hii huwa na mlengo tofauti au mtazamo tofauti

Ni kweli asimilia kubwa ya masingle mother huwa wanazingua lkn haimaanishi wote wako hivyo

Kuna ambao wanajielewa kwakuwa wamepata second chance hivyo huwa makini na bora zaidi

Kwa mtazamo wangu kuwapa lawama wote kuwa hawajielewi naona tunawaonea
 
Uzi mzuri,tuishi nao kwa akili,napigilia nyundo hapo kwenye namba 5 📌 ...
 
Hao wanaoji elewa ni kama 5%, na kuwapata labda mapenzi ya Mwenyezi Mungu yaamue kutimia kwako 😎

Most of them hawajielewi hata kidogo.
 
Mkuu mbona haujasema vijana wajiepushe na single mama
Kwa maoni yangu hawa wanawake ni kweli wengi wao wapo na mambo ambayo sio mazuri,huwa wanakawaida ya kuwarudia wazazi wenzao,lkn sio wote ambao wako hivyo ni wachache sana ambao wamesalimika na tabia hiyo

Sasa hapa inahitajika akili kubwa sana kuweza kumgundua yule ambaye yupo tofauti na wengine,na inahitajika ukomavu wa kutosha kuweza kudili nao,kwa mvulana sishauri kudili na single mother,inahitaji mwanaume mkomavu na mwenye busara na hekima kumfanya single mother akae sawa
 
✔️✔️✔️
 
Yote hayo ni kwakuwa binadamu ni kiumbe mbinafsi sana
 
Hao wanaoji elewa ni kama 5%, na kuwapata labda mapenzi ya Mwenyezi Mungu yaamue kutimia kwako 😎

Most of them hawajielewi hata kidogo.
Nilioa single maza kienyeji nikakaa nae miaka kumi alikuwa ni mzuri pia alinifaa sana kwa miaka yote hiyo mpaka tulipoachana kanizalia watoto wawili imetosha..
So now naweza kwenda popote pale kupambana na maisha yangu nikiwa najua watoto wangu wapo mahala fulani..
Nimepata single maza mwingine nae ana mimba yangu so soon nakuwa na mtoto wa tatu.. nae akijisikia kwenda ni sawa tu
Nitatafuta single maza wa tatu tena..
Ni mwendo wa kuishi nao kienyeji tu maana walishaharibu tangu zamani inabidi wakubali kuishi kijanta na Janta la Bushi..
 
oooza anacheka tu hakuna namna bro yaani niione pisikali kabisa hii hapa na inaweza kunipa mbegu za watoto wazuri niiache kisa eti imezaa?? Haiwezekani
Kwanza huo usingle maza wake kwangu ndio fimbo ya kumnyongea na mimi nina watoto so sina hofu ya kunangwa na kusimangiwa nae kuhusu wanangu
Pili wa kwao hata wapige kelele vipi kuhusu binti yao nakuwa sisikilizi maana najua wanaelewa kanuni ya mchezo na hawana upper hand.
Maana wanajua wazi mtoto wao ana dosari so nafanya kumpa stara tu ili asije akararuka sehemu za siri kwa wahuni wa mtaani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…