Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Hukumbuki zile meza za matairi.. watoto mkizidi utundu inanunuliwa, muda ukiisha na tv inaingizwa chumbani kwao [emoji23]
Kabati linachongeshwa lenye milango na vitasa. Vitasa nikaongea na fundi akasema vina funguo mbili mbili tu. Kumbe kila fungua ya tatu kanigea kwa masharti kwamba nisitoe siri wa wanayofanyaga na housegirl mchana wazee wakiwa job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza umafia wa deals zamani ..hongera πŸ˜‚
 
Noma
Noma sana
 
Halafu ukikuta na kwa jirani umekatika unaachia tabasamu pana na unajisemea 'umekatika kote'.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
🀣🀣......Duh hii nimetoka kuifanya muda mchache uliopita
 
Kunywa bia au soda huku ukiangalia kiasi ilichopungua
Kuangalia karatasi ngapi zimebaki ktk documents ndefu.
 
Tunaongezea kidogo..
Nguo ikichakaa inageuzwa dekio.
Chupa ya chai ikivunjika inakuwa chupa ya chumvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…