Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Kuna huu ujnga wateja wa chai kwenye migahawa wapashiwe,usipo fanya hivyo ni km hujamhudumia kabisa
 
Basi dadako ndio alitaka kucomplicate Mambo
Halafu kwa wanaume hizi shkamoo shkamoo naona sio nyingi,mnasalimiana kisela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mdogo wangu namsalimiaga Shikamoo pale tu atakapokuwepo na mkewe au watoto wake au ndugu wakubwa. Tofauti na hapo ni "Niaje?" Imeshakuwa kama utaratibu na ni dingi kinyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom