Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ukipata nguvu endelea mkuu...
 
Umeme ukikatika mnaukimbilia dirishani kuangalia majiran mbona unawaka
Vyombo vya udongo vya wageni wakat hamjui wanakuja lin

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukikuta na kwa jirani umekatika unaachia tabasamu pana na unajisemea 'umekatika kote'.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna lile kochi linakuaga spesho kwa ajili ya baba, akiwepo hakalii lingne tofauti.
Hata ukiwa umekalia, ukimskia tu anarud bas automatically unajikuta ushanyanyuka umehamia kochi lingine
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm huu utaratibu ulishakufa naanza na nyama saiz.
Mkuu ulishawahi kufanya kazi ambayo pesa yake ulishakula tayari? Yaani unahisi kama unafanya kazi bure.
Hivyo ndivyo huwa nahisi nikianza na nyama, happy ending ni muhimu so mimi nyama ni lazima ziwe za mwisho.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…