Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

1.Mwanamke akitongozwa na mwanamume lazima kodi ya nyumba inaisha papo hapo

2.Mwanamke akitongozwa na mwamume anahisi njaa muda huo huo

3.Mwanamke akitongozwa na mwanamume simu yake inaishiwa voucher muda huo huo

4.Mwanamke akitolewa out na mwanamume lazima ale chips kuku

5.Mwanamume na Mwanamke wakimaliza kut*mban* lazima Mwanamke aombe nauli,utafikiri kuna kazi ya maana aliifanya

6.Mwanamume kumuogopa mama mkwe kuliko kitu chochote

NB:nimeandika mambo hayo hapo juu kwa hisani ya Zero Iq!

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀 😀
Ukipata nguvu endelea mkuu...
 
😂😂😂😂 mm huu utaratibu ulishakufa naanza na nyama saiz.
Mkuu ulishawahi kufanya kazi ambayo pesa yake ulishakula tayari? Yaani unahisi kama unafanya kazi bure.
Hivyo ndivyo huwa nahisi nikianza na nyama, happy ending ni muhimu so mimi nyama ni lazima ziwe za mwisho.
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom