Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mkuu ulishawahi kufanya kazi ambayo pesa yake ulishakula tayari? Yaani unahisi kama unafanya kazi bure.
Hivyo ndivyo huwa nahisi nikianza na nyama, happy ending ni muhimu so mimi nyama ni lazima ziwe za mwisho.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiwa na nyama nyingi utabadilika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6.kupika ugali mchana, nyumba nyingi mchana lazima wapike ugali hata kama kuna chakula kingine

7.kupika wali usiku, nyumba nyingi usiku lazima upikwe wali maharage au wali nyama

8.chips na soda, karibu kila anayenunua chips lazima anunue na soda hasa coke ya baridi

9.kupiga mswaki na whitedent nyumba nyingi dawa ya meno wanayotumia ni whitedent

10.ukipikwa wali nyama,kila mtu achukue vipande vitatu tu vya nyama[emoji23] ukizidisha hapo unakomba mboga

11.kutazama taarifa ya habari saa mbili usiku, kuna watu mchana kutwa wapo tu hawafuatilii vyombo vya abari ila ikifika saa mbili ndio wanatazama habari, so breaking news hawazipati
Naunga mkono hoja #6,7&11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiutana na mtu wa makamo lazma useme "shikamoo"

Mie sina huo ushwaini, nachukia sana kumwambia mtu shikamoo ila ndio hivyo kwa wengi unaonekana mshenzi...Ati mbona unisalimii, yani ukiidai hio shkamoo najiskia hata kukutukana.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiutana na mtu wa makamo lazma useme "shikamoo"

Mie sina huo ushwaini, nachukia sana kumwambia mtu shikamoo ila ndio hivyo kwa wengi unaonekana mshenzi...Ati mbona unisalimii, yani ukiidai hio shkamoo najiskia hata kukutukana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa mie ndio wa ajabu manake

1.Chai nakunywa na chapati moja
2.Nikikaribishwa chakula huwa sikatai,kama nikikataa huwa naenda moja kwa moja kwenye point either kilichopikwa huwa sili ama nimeshiba
4.Sipendi maharage
5.Mgeni akija kwetu akiingia na viatu fureshi,akitaka kuvua simkatazi
Naona umeamua kubisha kabisa kabisa, haha haaa...
 
Nyama ilitumika kama silaha, ili mtoto aweze kumaliza chakula
Kabisaa ingawa umaskini ulichangia.. kilo ni mboga ya mchana na jioni na familia yenyewe kubwa. Bhasi hapo ni mboga za majani pembeni, mchuzi mwingi nyama mbili
 
Mtaangalia taarifa za habari za channel zote kinachofuatia ni mchezo. Saa nne hakuna kuangalia tamthilia za nje mtafundishwa tabia mbaya, mkalale
Baba alikuaga na tabia akimaliza kuangalia vipindi vyake sa 3 usiku anazima anaenda kulala, anatuambia tukasome dining. Baada ya kama nusu saa anarudi kugusa TV kwa nyuma kama mliwasha hua inakua na jotojoto😂😂
Ila wazazi walikua wanajipa mateso bila chuki
 
Ukiutana na mtu wa makamo lazma useme "shikamoo"

Mie sina huo ushwaini, nachukia sana kumwambia mtu shikamoo ila ndio hivyo kwa wengi unaonekana mshenzi...Ati mbona unisalimii, yani ukiidai hio shkamoo najiskia hata kukutukana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona siku hizi hawaitikii !!!..
ukimuamkia utaskia mambo vipi au shwari
 
Kabisaa ingawa umaskini ulichangia.. kilo ni mboga ya mchana na jioni na familia yenyewe kubwa. Bhasi hapo ni mboga za majani pembeni, mchuzi mwingi nyama mbili
Kweli kabisa, na hapo kubadili mboga hadi weekend.
 
Back
Top Bottom