Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ukiwa na nyama nyingi utabadilika tuMkuu ulishawahi kufanya kazi ambayo pesa yake ulishakula tayari? Yaani unahisi kama unafanya kazi bure.
Hivyo ndivyo huwa nahisi nikianza na nyama, happy ending ni muhimu so mimi nyama ni lazima ziwe za mwisho.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app