Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mbona siku hizi hawaitikii !!!..
ukimuamkia utaskia mambo vipi au shwari
Kizazi cha ma Mwinyi sindio kinapotea taratibu tuko na kizazi cha watu ambao hawajali mambo yasio na faida katika maisha yao.
 
Baba alikuaga na tabia akimaliza kuangalia vipindi vyake sa 3 usiku anazima anaenda kulala, anatuambia tukasome dining. Baada ya kama nusu saa anarudi kugusa TV kwa nyuma kama mliwasha hua inakua na jotojoto[emoji23][emoji23]
Ila wazazi walikua wanajipa mateso bila chuki
Hiyo ya kupima joto sijui nani aliwaambukiza [emoji23][emoji23].
Sisi tulikuwa tunaamka af mnaeka sauti ya chinii ya tv, mkisikia mtu anakuja, mnazima sasa hapo kila mtu atafute chimbo lake la kujificha. Ila mimi nilikuwa mdogo so chini ya meza za kizamani, vitambaa virefu hata hauonekani [emoji23][emoji23]
 
Daah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wake😂😂
Hyo kupima joto ilikua inanichekesha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Kama anakuzidi miaka mingi inabidi umpe shkamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hana mambo ya kishamba, ila sista kujifanya mtu wa maadili sana. Jamaa salamu yake ni aisee EXT vipi? Nikijibu freshi imetosha. Mi kwangu sioni kama ni ishu sana.

Habari yako dada/kaka imetosha hio! Mambo ya shkamoo huwa na kwepa.
 
Daah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wake[emoji23][emoji23]
Hyo kupima joto ilikua inanichekesha sana
Hahaha maisha ya zamani yalikuwa raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 siku ya pilau lazma muoge mchana mpendeze.siku hiyo urafiki wa kutembeleana hutaki pia
Mtoto mwenzako akija unaona kama atamaliza na wewe hautashiba vzuri, ila hii bana haikua nzuri😂 Full kujifunza uchoyo
 
Jamaa hana mambo ya kishamba, ila sista kujifanya mtu wa maadili sana. Jamaa salamu yake ni aisee EXT vipi? Nikijibu freshi imetosha. Mi kwangu sioni kama ni ishu sana.

Habari yako dada/kaka imetosha hio! Mambo ya shkamoo huwa na kwepa.
Basi dadako ndio alitaka kucomplicate Mambo
Halafu kwa wanaume hizi shkamoo shkamoo naona sio nyingi,mnasalimiana kisela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wake😂😂
Hyo kupima joto ilikua inanichekesha sana

Hukumbuki zile meza za matairi.. watoto mkizidi utundu inanunuliwa, muda ukiisha na tv inaingizwa chumbani kwao 😂
 
Haha zamani si kulikuwa hamna vingamuzi kwa hiyo ni itv , tvt na star tv
mpaka muone hizo za kinigeria mara moja moja .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kipindi hicho kijijini hakuna umeme, mshua kanunua tv na jenereta, kuangalia tv ni jumamosi na jumapili tu, kipindi hicho TvT kuna sijui ITV kulikuwa na ile tamthilia ya Taswira ya kina kanumba na ray.
 
Back
Top Bottom