St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Ewaaaaaa,huu ndio mduara,watu vumbi kuanzia unyayoni mpaka machoni.Na kama sikosei hii inaitwa sangula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibada!!Mbona umeshutuka!!Nimegusa mahali panakuhusu!!??Vipi kaka? Wakazi wa kibada twaogelea kweny maembe nini?!!!
Na hilo dubwasha lenye pundamilia mbona la ajabu hivyo,
au ndio lile sanamu la michelini linalojishebedua katika kila shughuli?
![]()
Sijakusoma mchungaji hebu dadavua![]()
Mambo ya tiGo huanzia hapa na vijimambo watu wanaamua kutwanga live!
![]()
Mambo ya tiGo huanzia hapa na vijimambo watu wanaamua kutwanga live!
Na hilo dubwasha lenye pundamilia mbona la ajabu hivyo,
au ndio lile sanamu la michelini linalojishebedua katika kila shughuli?
![]()
Ewaaaaaa,huu ndio mduara,watu vumbi kuanzia unyayoni mpaka machoni.Na kama sikosei hii inaitwa sangula.
Looo, ndo nini kumwita mwana wa mwenzio Dubwasha??
Daaaa ila nimechekaaaaaaa!!!!
hahaha huu ndo wenyewe paka mweusi
Kata kata!
Kata mwanangu kata!
Kiuno chako mwenyewe!