Mambo ya muduara

Mambo ya muduara

Na hilo dubwasha lenye pundamilia mbona la ajabu hivyo,
au ndio lile sanamu la michelini linalojishebedua katika kila shughuli?

DSCN0094.JPG
 
moc1.jpg

Mambo ya tiGo huanzia hapa na vijimambo watu wanaamua kutwanga live!
 
Na hilo dubwasha lenye pundamilia mbona la ajabu hivyo,
au ndio lile sanamu la michelini linalojishebedua katika kila shughuli?

DSCN0094.JPG

Ashakum si matusi..kama faru khaaa!! Wadada muangalie nguo mnazovaa sio kila fasheni unayo..
 
Na hilo dubwasha lenye pundamilia mbona la ajabu hivyo,
au ndio lile sanamu la michelini linalojishebedua katika kila shughuli?

DSCN0094.JPG

Looo, ndo nini kumwita mwana wa mwenzio Dubwasha??
Daaaa ila nimechekaaaaaaa!!!!
 
stress remover hiloooooooooo, nimefurahi only that, hakuna alieachia kipima joto chake, nadhani wanajua baada ya kucheza sana lazima nauli za kurudia nyumbani ziwepo....
 
hahaha huu ndo wenyewe paka mweusi

Sawasawa mama raha ya ngoma kutifua bana,ushaona wapi wahehe wanadua kwenye mchanga laini?Wao wanataka sehemu iwe ngumu kama kichuguu kisha waitifue wenyewe na wakitoka hapo wanaiacha kama mchanga wa baharini vile.
 
Back
Top Bottom