So what ? baada ya kuwa wamejiunga CCM?
Bara la Afrika litaendelea kuwa masikini kwa muda mtefu Sana ,hii inatokana na raia wake wengi kuwa wajinga. Kwa mfano kuhama kwa Hawa jamaa kutaisaidiaje nchi?
Je madeni ya taifa yatapungua?
Watumishi wataongezewa mishahara?
Umasikini wa Watanzania utapungua?
Uchumi utapanda?
Kuwa mshabiki wa watu wengine bila kuangalia hatima ya maisha yako na taifa kwa ujumla huo ni ujuha . Huku ni kukubali kutumiwa na watu wengine kwa manufaa yao binafsi.
Sent using
Jamii Forums mobile app