Mambo ya Sikukuu

Mambo ya Sikukuu

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
329
Reaction score
10
Sikukuu za Christmas na Boxing Day zimeisha. Wengine wamejirusha na family zao marafiki ndugu na jamaa, wengine ndoa zimevunjika, wengine wamekamatwa kwa fujo, wengine wametolewa bikira, wengine wamefumaniwa, wengine wameambukizwa, wengine wamelala mtaroni, wengine wamepoteza maisha . . . Sasa tusubili New Year 2011
 
Wengine Yesu Kristo kazaliwa mioyoni mwao na wameacha ulevi, umalaya, sigara, ujambazi na mifarakano kwenye ndoa zao wamekuwa watu wapya na wanafurahia maisha mapya ya kiroho na amani imetawala mioyoni mwao.
 
wengine wamekuwa wababa na wamama bila kutarajia...
 
Mi mamsapu wangu kalala rumande kesi leo dah
 
wengine wamekuwa wababa na wamama bila kutarajia...

Pauline jina lako tamu sana. Sio kuwa sijawahi kulisikia, ila hilo jina linanikuna sana hata nikilitamka. Natamani nioe mwanamke wa jina hilo
 
nijibu nini sasa?? Au nimefanya kosa kuchangia na mie??? Basi i'm so sorry... Mi spendi kuudhi mtu..

Noooo! Nooooo! Nooooo! Plse NILHAM RASHED, nakuomba usinisuse my dia. Nipo chini ya miguu yako (ila sikuchungulii). Sijamaanisha unaniudhi, nilimaanisha utani tu, pengine lugha yangu hujaielewa. Ungesikia sauti ungejua nakutania. AM SORRY KWA KUKUFANYA UJISIKIE KUKWAZIKA. AM REAL SORRY. I LOVE YOU
jAbAl-
 
HHAAAAAAAA WEWE???? HEE HEE KAZI IPO TAYARI KUSHAKUCHA,,, :A S 109: 😛ray2:

:A S 109:
 
Great thinker my ....!Enhe na na vipi starehe yako kama unavyoiita inafit MMU??Kua uache!
 
HHAAAAAAAA WEWE???? HEE HEE KAZI IPO TAYARI KUSHAKUCHA,,, :A S 109: 😛ray2:
:A S 109:

Mabinti wa kiarabu mnakuwa wazuri sana, halafu hamtofautiani urembo. Sijui ingekuwaje mgeruhusiwa kushiriki Miss World?
 
Hii ndo x mas bwana, ajali , ugomvi ulevi na mashokoro mengine mengi kibao
 
Back
Top Bottom