Mambo ya X

Mambo ya X

Mimi naipokea hiyo cheque na kuichana mbele yake! Pia natangaza hiki kikao ni kwa close friends tu!

Kwanza mimi hiyo biashara ya michango ya harusi siifagilii kabisa; nafanya small sherehe kulingana na uwezo wangu!
 
Wewe unatarajia kuoa hivi karibuni!upo ktk kikao chako cha harusi,mmepanga bajeti ni 12m!Bwana harusi umeanza ahadi yako kwamba utatoa 3.5m!wanakamati wawili watatu nao wakatoa ahadi zao!Sasa unajua tena haya mambo ya marafiki kuleta watu pengine wasio rafiki zako ktk kikao wachangie kumbe mmoja wa marafiki zako kamleta X-boyfriend wa mchumba wako mtarajiwa.

Ikafika zamu ya x wa mtarajiwa wako huku nawe ukiwa unajua jamaa alikuwa anakula mzigo wako,jamaa kwa mbwembwe akauliza so far ahadi ya bw harusi na wanakamati wengine ni sh ngapi?ikaonekana jumla ni 5m!jamaa papo hapo akaahidi kutoa pesa yote iliyobakia yaani 7m yaani mara 2 ya pesa uliyoahidi wewe bwana harusi!kama hataki vile jamaa akatoa cheque book ya kampuni yake ambayo mchumba wako alikuwa akifanya kazi enzi ya mahusiano yake na jamaa hapo awali!Jamaa akaanguka saini akakukabidhi cheque ya 7m!

JE UTAIPOKEA?UTAMWAMBIA MCHUMBA WAKO KUWA X WAKE KATOA KIASI HICHO CHA PESA?AU UTAMTOA NDUKI JAMAA?

Hapo ndiyo utajua faida za bikira.
 
Dharau hizooo....zimeanza mapemaaa,,,wala hatoki hapo salama na kikao kitaishia hapo kwa hiyo siku,kama anania nzuri tu hata kama ana hela si atoe hata mil.1 BUT si kutoa mara2 ya jamaa utazani kaambiwa budget imegoma.....haki ya Mungu nakupoteza duniani angeenda kumtolea kwenye kikao cha sendoff huko si kwenye harusi p...limbs...!!$
 
natumia simu mkuu,ningekugongea like!
 
Dharau hizooo....zimeanza mapemaaa,,,wala hatoki hapo salama na kikao kitaishia hapo kwa hiyo siku,kama anania nzuri tu hata kama ana hela si atoe hata mil.1 BUT si kutoa mara2 ya jamaa utazani kaambiwa budget imegoma.....haki ya Mungu nakupoteza duniani angeenda kumtolea kwenye kikao cha sendoff huko si kwenye harusi p...limbs...!!$

mkuu!asante kwa kubeba hisia halisi!tena ukimuua kesi ikaja kwangu mimi hakimu....nakuachia huru kabisa!maana huko ni kuchokozana kwa waziwazi kabisa!
 
Hapo ndiyo utajua faida za bikira.

ni kweli kwa kiasi flani!lakini usidhani kumtoa usichana msichana we ndio mpenzi au boyfriend wake wa kwanza!labda walikuwepo wengine kabla yako na aliwapa moyo wake lakini hawaku-do!kwani haliwezekani hilo?
 
Dah!hapo mie ckubal kabisa kupokea hyo cheque **** make.
 
just accept it coz u better let the past in past

mjombo!kwani past haiwezi fufuliwa?huoni hapo inafufuliwa kupitia wewe mwenyewe?yatatokea mambo mengi huko mbele utajuta kwanini ulikubali mchango wake!
 
ndio broda ukikubali mbeleni itakuwa bonge la zali kwani cha BURE NI GHARAMA.
 
Kazi kweli kweli, mi ingekuwa ngumu, hayo ni madharau, lazima pangechimbika.
 
husninyo!kirahisi hivyo?hivi kupita ni nini?hauoni jamaa kwa kufanya hivyo anaunganisha the past with the present to the future?

mc, huo ni wasiwasi tu na kama anatengeneza future ujue anaweza tengeneza kwa njia yoyote ukiacha hiyo.
 
Wewe unatarajia kuoa hivi karibuni!upo ktk kikao chako cha harusi,mmepanga bajeti ni 12m!Bwana harusi umeanza ahadi yako kwamba utatoa 3.5m!wanakamati wawili watatu nao wakatoa ahadi zao!Sasa unajua tena haya mambo ya marafiki kuleta watu pengine wasio rafiki zako ktk kikao wachangie kumbe mmoja wa marafiki zako kamleta X-boyfriend wa mchumba wako mtarajiwa.

Ikafika zamu ya x wa mtarajiwa wako huku nawe ukiwa unajua jamaa alikuwa anakula mzigo wako,jamaa kwa mbwembwe akauliza so far ahadi ya bw harusi na wanakamati wengine ni sh ngapi?ikaonekana jumla ni 5m!jamaa papo hapo akaahidi kutoa pesa yote iliyobakia yaani 7m yaani mara 2 ya pesa uliyoahidi wewe bwana harusi!kama hataki vile jamaa akatoa cheque book ya kampuni yake ambayo mchumba wako alikuwa akifanya kazi enzi ya mahusiano yake na jamaa hapo awali!Jamaa akaanguka saini akakukabidhi cheque ya 7m!

JE UTAIPOKEA?UTAMWAMBIA MCHUMBA WAKO KUWA X WAKE KATOA KIASI HICHO CHA PESA?AU UTAMTOA NDUKI JAMAA?

he! wao si walishamalizana? unapokea cheque kwa moyo mkunjufu, hela unakula na mke unaondoka nae akiwaona anabaki kuongea tu niliwachangia basi
na uzuri wa hivi viungo nyeti mkishaachana basi baada ya muda hukumbuki hata size yake.:lol: wachilia mbali utamu wake.
 
mc, huo ni wasiwasi tu na kama anatengeneza future ujue anaweza tengeneza kwa njia yoyote ukiacha hiyo.

husninyo!atengeneze kwa namna nyingine bana lakini sio kwa mgongo wa bw harusi!halafu mwenzio sweetlady nilimuuliza swali ngoja nikuulize nawe pia

x wa mmeo mtarajiwa kaahidi kumnunulia suti ya harusi na honeymoon atagharamia yeye full!utakubali?
 
he! wao si walishamalizana? unapokea cheque kwa moyo mkunjufu, hela unakula na mke unaondoka nae akiwaona anabaki kuongea tu niliwachangia basi
na uzuri wa hivi viungo nyeti mkishaachana basi baada ya muda hukumbuki hata size yake.:lol: wachilia mbali utamu wake.

aisee watu wengi humu mnachukulia issue za x kirahisi sana!
 
husninyo!atengeneze kwa namna nyingine bana lakini sio kwa mgongo wa bw harusi!halafu mwenzio sweetlady nilimuuliza swali ngoja nikuulize nawe pia

x wa mmeo mtarajiwa kaahidi kumnunulia suti ya harusi na honeymoon atagharamia yeye full!utakubali?

hehehe! Kwanza nimefurahi ulivyosema mwenzangu swtlady. Sina raha cjamuona leo.
B2T: hivi inamaana ukaribu bado upo au inakuwaje hadi anapata chance kuhuzulia vikao na kuahidi? Nijibu kwanza.
 
mazingira the same kama ya hapo juu!tena ang'ang'ania lazima mtarajiwa wako avae hiyo suti yake!
 
mla kuku wa mwenzie miguu inamuelekea, du!!!!! Mm kama mm nyoka kwanza najivua gamba nachukua hiyo cheki, halafu hy pesa, inatumika kuwatafuta manyoka wengine rijari 2namgoja jamaa, hapo moyo wangu utakuwa umeridhika kabisaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom