Mambo yako ya kuweka siri

Mambo yako ya kuweka siri

1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote.

2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako.

3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako.

4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa.

5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika.

6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio.

7. Usilete mambo yasiyomazuri ambayo umesikia huko.

8. Taarifa na mambo ya mpenzi wako.

9. Udhaifu wako.

10. Vipaji vyako.


Ikiwa habari hii imeweza kuongeza 1% ya thamani kwa maisha yako:
- Tafadhali ieneze
ASA kama una MTU unataka kushirikiana nae kwenye maisha iyo point no 1 vipi Na tunaelewa maisha bila campaign ni ngumu kutoka
 
Back
Top Bottom